• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

WAFANYAKAZI WA HALMASHAURI YA MJI MAKAMBAKO KUFANYA ZIARA WILAYA YA NYASA

Posted on: July 21st, 2020

Wafanyakazi wa Halmashauri ya Mji Makambako, Mkoa wa Njombe,wanatarajia kufanya Ziara ya siku moja ya  kimichezo  na Utalii Wilayani Nyasa.

Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Nyasa Bw Jimson Mhagama, amesema wafanyakazi wa Halmashauri ya Mji Makambako, watafanya Ziara hiyo Julai 25 Mwaka huu, katika Halmashauri ya Wilaya Nyasa.

Bw. Mhagama amefafanua kuwa lengo la Ziara hiyo, ni kufanya Bonanza la kimichezo, na Utalii kati yao na wafanyakazi wa Halmashauri ya Nyasa,  michezo itakayofanyika katika uwanja wa michezo wa Shule ya Msingi Kilosa. Ameitaja michezo itakayochezwa ni  Mpira wa Miguu kwa wanaume,  Mpira wa Wavu( Volleyball], kuvuta Kamba, Mpira wa Netball , kukimbiza kuku kwa wanaume na wanawake, kukimbia kwenye gunia, wanawake na wanaume, na mchezo wa drafti pamoja na bao.

Alitoa wito kwa wafanyakazi wa Wilaya ya Nyasa, na Wananchi wote kujiandaa kuwapokea wageni hao kutoka makambako na kutumia Fursa za kimichezo, Utalii na Biashara kwa kujenga mahusiano na kujipatia kipato ili kukuza uchumi wa wananchi wa wilaya ya Nyasa.

Aidha Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Nyasa, ameipongeza Halmashauri ya Mji wa Makambako kwa kufanya Ziara katika Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa na kutoa wito kwa Halmashauri zingine kutembelea Nyasa kwa kuwa ni Wilaya ya Kitalii na ukiwa Nyasa utaweza kuona vivutio vingi vya Utalii Vikiwemo Ziwa Nyasa,mlima Mbamba, Fukwe nzuri za Ziwa Nyasa,Jiwe la Pomonda,na Samaki wa Mapambo.

Naye Afisa michezo wa Wilaya ya Nyasa Bw Florence Msuha, amesema maandalizi ya michezo yote inaendelea vizuri , na Watumishi wanamichezo wanafanya mazoezi kwa lengo la kushindana na wageni hao.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.