• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Wafanyakazi wa Benki ya CRDB Tawi la Nyasa watoa Vifaa vya Usafi

Posted on: July 26th, 2023

Wafanyakazi wa Benki ya CRDB Tawi la Nyasa wametoa mifagio kumi yenye thamani ya TSH laki moja Kwa wananchi wakazi wa Kata ya Mbamba bay Wilayani Nyasa Kwa ajili kuunga mkono juhudi za wananchi, kuuweka mji wa Mbamba bay katika Hali ya Usafi. Makibidhiano hayo yamefanyika katika Benki hiyo tarehe 26/07/2023 na Meneja wa Benki ya CRDB Ezekia Senchuma ndiye aliyemkabidhi Mbunge wa Jimbo la Nyasa mhandisi Stella Manyanya Kwa niaba ya wananchi wa Kata ya mbamba bay. Akikabidhi Vifaa hivyo meneja Senchuma amesema wafanyakazi wa Benki hiyo wameamua kuunga mkono juhudi za wananchi wa Kata ya Mbamba bay ya kuhakikisha mji unakuwa safi wakati wote. Akipokea msaada huo Mbunge wa Jimbo la Nyasa mhandisi Stella Manyanya amewashukuru na kuwapongeza Benki ya CRDB Tawi la Nyasa Kwa kuunga mkono juhudi za kuimarisha Usafi wa mazingira na kuwaomba wadau wengine kuunga mkono juhudi za Usafi wa mazingira. Kwa upande wao wananchi wamewapongeza wafanyakazi hao Kwa kuamua kuunga mkono juhudi za wananchi. Benki ya CRDB Tawi la Nyasa ni mlezi wa kampuni ya Usafi wa mazingira katika kata ya Mbamba bay.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • Tangazo la Mikopo October 09, 2025
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Maonesho ya Nane Nane Kanda za Nyanda za juu kusini , Mguu sawa Kuanza leo

    August 01, 2025
  • UTEKELEZAJI KAMPENI YA CHANJO YA MIFUGO YAANZA NYASA

    July 12, 2025
  • MAKUNDI SOGOZI YA WHATSAAP YAPASWA KUJADILI MAENDELEO

    July 12, 2025
  • DC MAGIRI AZINDUA RASMI BODI YA MAJI WILAYA YA NYASA

    July 12, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.