• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

WAFANYABIASHARA na wananchi Nyasa waiomba serikali meli ya Mv mbeya ii

Posted on: August 24th, 2024

Wananchi na wafanyabiashara Wilaya ya Nyasa wameiomba Serikali, Meli ya Mv Mbeya ii iendelee na safari zake katika Ziwa Nyasa, ili waweze kusafirisha shehena ya mizigo iliyopo katika Bandari ya Mbamba bay, na kuruhusiwa kuuza Nchi jirani mazao ya Mahindi,Unga na Mchele.

Mwenyekiti wa wafanyabiashara bw.Seleman Ndunguru amesema hayo tarehe 23.08.2024 wakati wakiwasilisha kero kwa Mkuu wa Wilaya ya Nyasa mh. Peres Magiri Aliyefanya ziara ya kikazi katika bandari ya mbamba bay ya kusikiliza na kutatua kero za wafanyabiashara hao.

Bw ndunguru amefafanua kuwa Serikali ilisitisha safari za meli ya Mv Mbeya ii mara baada ya Bandari kujaa maji, lakini kwa sasa maji yamepungua na mizigo ya wafanya biashara iko bandarini na inatakiwa kwenda sehemu mbalimbali, wanapata changamoto kubwa ya kusafirisha mizigo kwa kuwa wanalazimika kutumia mitubwi ambayo wanakuwa hawana uhakika wa safari na mizigo yao, lakini kama meli yetu ingekuwepo tungekuwa tunasafirisha bila wasiwasi.

Ameongeza kuwa kwa sasa Nchi jirani ya Malawi wanauhitaji wa Unga wa mahindi na bei yao ni nzuri hivyo wanaomba Serikali itatue changamoto hizi ili wafanyabiashara na wananchi waweze kupata maendeleo wilani hapa.

Akijibu hoja hizo Mkuu wa wilya ya Nyasa Mhe. Peres Magiri amewapongeza wananchi na wafanyabiashara  kwa kufanya kazi kwa juhudi na ameahidi kulipatia ufumbuzi wa haraka wa kero hizo.

Aidha amesema ni kweli meli ya Mv Mbeya ii ilisimama kutokana na miundombinu ya bandari kujaa maji hivyo mawasiliano yatafanyika na muda sio mrefu Meli itaanza kazi,

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • UTEKELEZAJI KAMPENI YA CHANJO YA MIFUGO YAANZA NYASA

    July 12, 2025
  • MAKUNDI SOGOZI YA WHATSAAP YAPASWA KUJADILI MAENDELEO

    July 12, 2025
  • DC MAGIRI AZINDUA RASMI BODI YA MAJI WILAYA YA NYASA

    July 12, 2025
  • DKT.SAMIA AMWAGA TENA MAMILIONI YA MIRADI NYASA

    July 10, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.