• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

VITA DHIDI YA CORONA WATU 92 WAWEKWA KARANTINI SONGEA

Posted on: April 29th, 2020

KITUO cha Uhamiaji cha Mkenda kilichopo wilayani Songea mpakani mwa Tanzania na Msumbiji kimeweza kuhudumia  raia wa kigeni na watanzania wapatao 174 katika kipindi cha kuanzia Aprili Mosi hadi 27,2020.

Akitoa taarifa ya kituo hicho  kwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme alipofanya ziara ya kutembelea kituo hicho,Afisa Uhamiaji Kituo cha Mkenda Inspekta Ambinga Swai  amesema kati ya wageni waliohudumiwa katika kipindi hicho ni raia wa Tanzania walioingia nchini ni 73,raia wa Tanzania waliotoka nchini ni 44,raia wa kigeni walioingia nchini 17 na raia wa kigeni waliotoka nchini ni 40.

Hata hivyo  Swai amesema raia wa kigeni na watanzania waliotoka nje ya nchi na kuingia nchini walianza kupelekwa katika eneo la karantini lililopo Peramiho nje kidogo ya Mji wa Songea kuanzia Aprili 6 na kwamba hadi kufikia Aprili 27 jumla ya watu 92 walikuwa kwenye karantini.

Amesema kati ya watu hao raia wa Tanzania ni 82 na  raia wa kigeni 10 na kwamba katika idadi ya waliopelekwa karantini kulikuwa na Mkisiwa mmoja ambaye ni raia wa Tanzania.

Akizungumza baada ya kukagua kituo hicho Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ameipongeza Idara ya Uhamiaji kwa ,kazi nzuri na kutahadharisha katika kipindi hiki cha vita ya corona kuchukua tahadhari ambapo amekemea wasishiriki katika vitendo vya rushwa kujaribu kuwapitisha wageni wanaotoka nje ya nchi bila karantini.

Amewashauri kuchukua tahadhari zilizotolewa na watalaam wa afya ikiwemo kunawa mikono,matumizi ya vitakasa mikono na matumizi ya barakoa na kwamba raia wote wanaoingia nchini lazima wawekwe karantini kwa siku 14.

“Wapimeni wageni wote wanaongia nchini awe ni  Mtanzania au raia wa kigeni ,tumewaleta thermal scanner,ugonjwa huu ni hatari,nichukue fursa hii kuwapongeza watumishi wote wa afya ambao wamesimama imara,nakuomba Mganga Mkuu angalia maslahi ya watumishi wa afya’’,alisisitiza.

Amesema kila mmoja akiwajibika na kushirikiana kwa pamoja vita ya corona tutaishinda na kwamba kumuumba Mungu katika janga hili kuende sanjari na juhudi za kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona.

Katika hatua nyingine Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma ametoa shilingi 500,000 kama motisha kwa askari watano wanaolinda eneo la mpaka wa Mkenda ili kuhakikisha kuwa nchi na Mkoa wa Ruvuma unaendelea kubaki katika hali ya usalama.

Kituo cha uhamiaji Mkenda chenye Taasisi tano kipo umbali wa kilometa 140 kutoka mjini Songea,kituo hicho ambacho kimepakana nan chi ya Msumbiji kilianza kufanyakazi tangu mwaka 2009.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • TAARIFA YA MAENDELEO YA JAMII

    June 26, 2025
  • KICHEKO CHATAWALA TAFRIJA YA KUWAAGA MADIWANI

    June 19, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.