• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

VIJIJI 177 MKOA WA RUVUMA , KUWAKA UMEME IFIKAPO AGOSTI 31,2021

Posted on: August 21st, 2021

Kamati ya Siasa ya  Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma, leo wamekagua mradi wa wa Usambazaji wa Umeme Vijijini unaotekelezwa na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) Mkoa wa Ruvuma Kupitia wakala wake (REA) na kuwasha umeme katika Kijiji cha Lulimbo, Kata ya Tingi Tarafa ya Mpepo Wilayani Nyasa.

Akikagua Mradi huo na kuwasha umeme katika majengo ya Shule ya Msingi Lulimbo, Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma Oddo Mwisho ameridhishwa na mradi huo, na  amelitaka Shirika la Umeme Tanzania, Mkoa wa Ruvuma, kuhakikisha wanatekeleza Miradi ya Usambazaji umeme vijijini kwa haraka, na kuwaletea wananchi huduma bora za umeme, ili kutekeleza Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM)  inayotaka huduma bora za Umeme kuwafikia wananchi wote hasa wa Vijijini.

Ameongeza kuwa Shirika la Umeme Tanzania Hususani Mkoa wa Ruvuma wanafanya kazi nzuri za kuhakikisha huduma ya umeme inawafikia wananchi wote hasa wa Vijijini, lakini, wanatakiwa kuongeza juhudi ili kufikia malengo waliyojiwekea. Kwa Wilaya ya Nyasa moja ya Changamoto iliyowafanya kutokufikia malengo ni ubovu wa miundombinu, ya barabara wakati wa masika, amelitaka shirika hilo kutumia muda huu wa kiangazi kutekeleza kazi za usambazaji wa Umeme.

“ndugu wananchi Tanesco ni wauza duka letu na mkandarasi ni muuza duka letu, leo tumeka kukagua duka letu ,tunajua Tanesco sio wazembe wala mkandarasi sio mzembe bali tunachokitaka mhakikishe kuwa muda huu wa kiangazi mnatekeleza majukumu yenu ya usamabazaji umeme ili kuepuka changamoto za wakati wa Mvua” alisema Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Ruvuma

Awali akitoa taarifa ya Usambazaji wa Umeme kwa Wilaya ya Nyasa, Meneja wa TANESCO Mkoa wa Ruvuma Mhandisi Florence Mwakasege, amesema katika kutekeleza mpango wa Serikali kupeleka umeme vijijini jumla ya Vijiji 30 vya Wilaya ya Nyasa vimepatiwa Umeme na vijiji 17 Mkandarasi anaendelea na kazi ya kusambaza umeme,wakati Vijiji 37 hii leo Mkandarasi ameanza kazi ya utafiti, aidha Mkandarasi amepewa kandarasi ya kusambaza umeme katika Vijiji 177 Mkoa wa Ruvuma na ifikapo Agosti 31 mwaka huu umeme utakuwa unawaka katika Vijiji 177  na katika Wilaya ya Nyasa Vijiji 36.

Aidha ametoa wito kwa wananchi wa Wilaya ya Nyasa kuitunza miundombinu ya TANNESCO ili iendelee kuwapa huduma bora hususani kutochoma maoto katika maeneo yao.

Mradi wa Usambazaji Umeme Vijijini katika Wilaya ya Nyasa, utawasaidia wananchi kuongeza uzalishaji mali kwa kuongeza viwanda vidogo vidogo vya uzalishaji mali na kukuza uchumi kwa wananchi wa Wilaya ya Nyasa.

Imeandaliwa na Netho c Sichali

Afisa Habari Nyasa dc

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.