• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

UVCCM NYASA WAANDAMANA KUPONGEZA WAJUMBE UTEUZI WA WAGOMBEA CCM

Posted on: January 21st, 2025

UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Nyasa, wamefanya maandamano  ya kumpongeza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, kwa kuchaguliwa kuwa mgombea Urais mwaka 2025 kupitia chama Cha Mapinduzi (CCM) na Kumshukuru kwa Kumchagua DKT Emmanuely Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza.

Lengo la maandamano  hayo ni kuunga mkono maazimio ya  wajumbe wa mkutano Mkuu Taifa (CCM) ambao umefanyika hivi karibuni  Jijini Dodoma na  wamemchagua Dkt Rais Samia Suluhu Hassan kuwa Mgombea Urais kupitia CCM na Dkt Emmanuely Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza  na Dkt Hussein Mwinyi awe Mgombea Urais Zanzibar kupitia CCM  KATIKA Uchaguzi mkuu mwaka 2025.

Akizungumza wakati akitamatisha Maandamano hayo Mwenyekiti wa Umoja wa vijana (CCM) Wilaya ya Nyasa Komred Clavian Matembo amesema, Umoja wa Vijana Wilayani Nyasa wamefurahishwa sana kwa Rais Samia kuchaguliwa kuwa mgombea wa Urais katika Uchaguzi wa mwaka 2025 na wanamshukuru Rais Samia kwa Kumteua Dkt Emanuely Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza Hivyo Umoja wa Vijana wako pamoja na wanaunga mkono uteuzi huu.

“Sisi kama Umoja wa vijana tunawapongeza wajumbe wote waliofanya maazimio haya na tumeamua tuandamane kama ishara ya kuunga mkono kazi kuwa waliyoifanya hivo wajue Nyasa tumefarijika na tuko pamoja nao”

Naye Naibu Katibu mkuu wa Umoja wa Tanzania Bara CDE Mussa Mwakitinya akizungumza kwa simu na vijana waliokuwa kwenye maandamano hayo amewapongeza vijana kufanya maandamano hayo kwa kuwa ni Wilaya ya kwa kufanya maandamano ya amani kuwapongeza wajumbe wa halmashauri kuu ya CCM Taifa.

Mbunge wa Jimbo la Nyasa Mhandisi Stella Manyanya amempongeza Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuteuliwa na Mkutano mkuu kuwa mgombea kupitia chama cha CCm aidha amesema utekelezaji wa miradi ya maendeleo alioufanya wananchi wanaimani kubwa hivyo wanaNyasa tuko Pamoja nae

Maandamano hayo yameanzia Ofisi ya CCM Nyasa kwenda mpaka barabara ya mzunguko kupitia stand kuu ya Mbamba bay mpaka Baylive na kuzunguka mitaa mbalimbali Mbambay na kurudi mpaka Ofisi kuu ya Ya CCM Nyasa.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Mwenyekiti wa Tume huru ya Uchaguzi Tanzania akagua vituo vya kujiandikisha Nyasa.

    May 04, 2025
  • Dc Nyasa awataka madiwani na watendaji kubuni vyanzo vipya vya mapato

    April 30, 2025
  • DC Nyasa azindua Kituo kipya cha Mafuta

    April 26, 2025
  • Wilaya ya Nyasa yaadhimisha miaka 61 ya Muungano kwa Kufanya Usafi

    April 26, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.