• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

USIMAMIZI IMARA VYANZO VYA MAPATO, KUWEZESHA UKAMILISHAJI MIRADI, NYASA

Posted on: April 13th, 2021

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Mh. Stewart Nombo, amewataka wananchi na viongozi katika Vijiji na Kata kusimamia ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, ili fedha hizo ziweze kusaidia katika ukamilishaji wa miradi ya maendeleo.

Ameyasema hayo jana, wakati akiongea na wananchi katika ziara ya Siku moja iliyofanyika, Tarafa ya Mpepo katika Kata za Mpepo, Liparamba,Tingi Lumeme na Kingerikiti , Akiwa na Kamati ya Fedha, Mipango na Uongozi, wakati Akitembelea na akikagua Miradi Mbalimbali ya Maendeleo.

Mh. Nombo amefafanua kuwa, Halmashauri  kwa sasa tunatakiwa kuongeza kiwango cha ukusanyaji wa mapato, ili tuweze kujitegemea kwa kuwa na mapato yatakayoweza kusaidia ukamilishaji wa miradi mbali mbali inayoibuliwa na kutekelezwa na wananchi. Tukitaka kufanikiwa katika ukusanyaji wa Mapato, lazima tushirikiane kati ya Wananchi, Viongozi na Wataalamu kwa Ujumla kwa kuwa wakusanyaji wa mapato wanakusanya katika Ngazi za Vijiji.

Amewataka Watendaji wa Vijiji na Kata kusimamia Ukusanyaji wa Mapato, kwa kuziba mianya inayosababisha kupotea mapato katika Vituo (mageiti) ya Ukusanyaji mapato na Kutoa Taarifa kwa wakusanyaji wasio waaminifu, ili mapato yatakayopatikana yatumike kukamilisha miundombinu  ya miradi mbalimbali itakayowanufaisha wananchi katika Maeneo yao.

“Nichukue fursa hii kuwakumbusha wananchi na viongozi kuwa kila mtu kwa nafasi yake ahakikishe anasimamia ukusanyaji wa mapato na kuwasimamia wakusanyaji mapato, haturuhusu kuwapo kwa upotevu wa mapato kwa maslahi yao binafsi hivyo maafisa watendaji wa vijiji  na kata wahakikishe watoza ushuru wanafanya kazi kwa uaminifu, ili fedha zote tuzipeleke kwenye miradi ya Maendeleo”

Aidha amewapongeza wananchi wa Tarafa ya Mpepo kwa kushiriki kikamilifu kuchangia Miradi ya Maendeleo, na kuwa eleza kuwa katika kipindi cha uongozi wake atahakikisha fedha zote za Miradi ya Maendeleo zinatumika vizuri na wananchi wote wajitoe kuchangia maendeleo.

Kamati ya fedha na Mipango ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa imetembelea jumla ya  miradi 12 yenye thamani ya TZS. 607,975,644.91 ya Afya na Elimu ,na kuridhishwa na mwenendo ya miradi hiyo.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.