• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

UMOJA WA WATUMISHI WILAYA YA NYASA KUANZA RASMI AGOSTI,2025

Posted on: July 9th, 2025

Na Byarugaba Innocent, Nyasa DC

Umoja wa watumishi wanaofanyakazi kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa (UWANYA) unatarajia kuanza utekelezaji wake  ifikapo mwezi Agosti, 2025 kama ilivyoridhiwa  na kikao cha pamoja kilichoketi tarehe 24 Juni, 2025 kwenye ukumbi wa Mkurugenzi  kikijumuisha uwakilishi wa wajumbe kutoka kwenye divisheni na vitengo

Mwenyekiti wa Umoja huo Limbega Hassan Ally ameeleza kuwa lengo la UWANYA  ni kuimarisha ushirikiano na kusaidiana wakati wa shida kazini kama sehemu ya kudumisha umoja, udugu, upendo na mshikamano mahala pa kazi kwani sote  ni waajiriwa wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Nyasa.

Aidha, Limbega amewaomba watumishi  wote kutambua umuhimu wa uanzishwaji   wa umoja huo na kujiunga kwa wingi ili kufikia adhima yake kwa maslahi mapana ya watumishi wenyewe huku wakitambua kuwa  shida hazina mwenyewe  na hazipigi hodi hivyo kuanzishwa kwa mfuko huo  ni ukombozi katika kufikia  utumishi wenye tija na haiba.

“…UWANYA haitajihusisha na mrengo wowote wa kisiasa,kidini,ukabila ama ukanda. Kimsingi ni kama daraja la kutuunganisha watumishi kama familia moja. Niwaombe watumishi tujivunie na kutembea kifua mbele kama sehemu ya wajumbe waanzilishi”.. amesema Limbega

Akizungumzia utaratibu wa kujiunga Mkuu wa divesheni ya rasilimali watu na utawala Khamis Mkelle amesema kila mtumishi kwa hiari yake atajaza fomu maalum ya kujiunga  na kuridhia makato ya shilingi 5,000.00 kukatwa kwenye mshahara wake kila mwezi kwa ajili ya UWANYA.

Kaimu Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Pasifiki Mhapa ametoa wito kwa watumishi kujiunga kwani taratibu zote za uanzishwaji zimefuatwa na kukamilika  ikiwemo kupta uongozi kamili na kukamilishwa kwa uandaaji wa katiba inayoonesha kuwa  Mkurugenzi Mtendaji kwa kikatiba ndiye mlezi wake.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • UTEKELEZAJI KAMPENI YA CHANJO YA MIFUGO YAANZA NYASA

    July 12, 2025
  • MAKUNDI SOGOZI YA WHATSAAP YAPASWA KUJADILI MAENDELEO

    July 12, 2025
  • DC MAGIRI AZINDUA RASMI BODI YA MAJI WILAYA YA NYASA

    July 12, 2025
  • DKT.SAMIA AMWAGA TENA MAMILIONI YA MIRADI NYASA

    July 10, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.