• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

UBORESHAJI wa Bandari ya Ndumbi umeongeza abiria na mizigo kwa asilimia 60

Posted on: October 17th, 2023

Uboreshaji wa bandari ya Ndumbi ziwa Nyasa Mkoani Ruvuma umeleta muitikio mkubwa  katika ongezeko la mizigo asilimia 167.83 na Abiria asilimia 175.57 kwa  kutumia usafiri wa majini.

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amesema Kutokana maboresho makubwa ambayo yamefanywa na Serikali ya Awamu ya sita chini ya uongozi wa Rais Dkt Samia Suluhu Hassani, yamegharimu  kiasi cha fedha bilioni 12.2.

 Ameongeza kuwa maboresha hayo, yamewezesha kusafirisha shehena ya tani 30,265.12 za mizingo ambapo ni ongezeko la tani 18,965.12 sawa na asilimia 167.83 na abiria 51,531 ni ongezeko la abiria 32,831 sawa na ongezeko la asilimia 175.57.

“Lengo la uboreshaji huo ni kutaka kukuza uchumi wa mikoa inayozunguka ziwa na mamlaka inasimamia katika kuendesha Meli mbili za mizingo na Meli moja ya abiria na mzigo’’,amesema Kanali Thomas.

Hata hivyo, amesema hivi sasa mzigo mkubwa unaohudumiwa ni (gypsum) unaosafirishwa kutokea Bandari ya Mbambabay hadi bandari ya Kiwira na kuelekea nchini Malawi kupitia njia ya barabara.

 Kwa mujibu wa taarifa kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa  Bandari Tanzania (TPA) Meli ya MV Mbeya II ina uwezo wa kubeba abiria 200 na tani 200 za mizigo kwamba Meli hiyo inaendelea kutoa huduma ya usafirishaji ndani ya Ziwa Nyasa  kupitia banadari zote 15 kuanzia  Mbambabay mkoani Ruvuma hadi   Kiwira mkoani Mbeya.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • UTEKELEZAJI KAMPENI YA CHANJO YA MIFUGO YAANZA NYASA

    July 12, 2025
  • MAKUNDI SOGOZI YA WHATSAAP YAPASWA KUJADILI MAENDELEO

    July 12, 2025
  • DC MAGIRI AZINDUA RASMI BODI YA MAJI WILAYA YA NYASA

    July 12, 2025
  • DKT.SAMIA AMWAGA TENA MAMILIONI YA MIRADI NYASA

    July 10, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.