• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

TRA Ruvuma yakamata sukari ya Magendo,Yagawia shule 5 za Sekondari, Ruvuma

Posted on: January 25th, 2023


Mamlaka ya mapato Tanzania Mkoa wa Ruvuma Tarehe 25/01/2023 ( saa 3 asubuhi,) imegawa sukari kwa shule za Sekondari 5 za Mkoa wa Ruvuma, Sukari iliyokamatwa wakati ikiingizwa Nchini  kwa magendo wilayani Nyasa kutoka Nchi jirani ya Malawi.

Mgeni Rasmi katika zoezi la Ugawaji Sukari ni Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mh Aziza Mangosongo ambaye,amegawa sukari hiyo kwa wakuu wa Shule za Mbamba bay, Kigonsera,Shule ya Sekondari ya Wavulana Songea,Shule ya Wasichana Songea,na Shule ya Sekondari Tunduru.

Akigawa Sukari hizo ameipongeza Mamlaka ya Mapato Tanzania kwa kufanya ukaguzi wa mara kwa mara wa kukagua bidhaa zinazoingia Nchini kwa magendo na kuwataka waendelee na ukaguzi huo wa mara kwamara na kuwataka Walimu kuitumia Sukari hiyo kwa ajili ya wanafunzi kamailivyopangwa.

Awali Akitoa Taarifa ya upatikanaji wa sukari hiyo ya magendo, Meneja wa TRA Mkoa wa Ruvuma bw, Nicodemus Mwakilembe amesema Sukari hiyo ilikamatwa katika sehemu iliyohifadhiwa ili isafirishwe, sehemu mbalimbali hapa nchini na imeingizwa kwa magendo kutoka Nchi ya Malawi. Amefafanua kuwa, kwa kuwa sukari ilikuwa haina vibali sharia inawataka kutaifisha na kutumiwa sehemu mbalimbali kama vile shule na mara baada ya mapendekezo ya vikao halali wameamua kugawa  katika shuleza 5 za  bweni na Kila shule imepata Mifuko 54 ya kilo 20.

Ametoa wito kwa wananchi na wafanyabiashara Mkoa wa Ruvuma kuwa TRA inafanya kazi ya kukagua mizigo biashara zote hivyo walipe kodi  ya bidhaa wanazoingiza,aidha Hatua za kisheria zitawakuta wale wote wanaoingiza mizgo kwa njia zisizo halali.

Wakuu wa shule hizo wameipongeza Serikali kwa kuwapa Sukari hiyo na kuahidi kuwa sukari itatumika kama ilivyoelekezwa.

Announcements

  • Tangazo la nafasi za kazi Halmashauri ya wilaya ya Nyasa December 01, 2025
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • TANGAZO la nafasi ya kazi February 03, 2023
  • View All

Latest News

  • Balozi wa Tanzania nchini Malawi atembelea Wilaya ya Nyasa

    December 06, 2025
  • Maonesho ya Nane Nane Kanda za Nyanda za juu kusini , Mguu sawa Kuanza leo

    August 01, 2025
  • UTEKELEZAJI KAMPENI YA CHANJO YA MIFUGO YAANZA NYASA

    July 12, 2025
  • MAKUNDI SOGOZI YA WHATSAAP YAPASWA KUJADILI MAENDELEO

    July 12, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.