• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

TIMU ya Wataalam Mkoa wa Ruvuma watembelea Miradi Nyasa

Posted on: September 20th, 2022

Timu ya wataalamu ya usimamizi na ufuatiliaji wa miradi kutoka  Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma , Tarehe 19/09/2022 hadi 21/09/2022 wanafanya Ufuatiliaji wa Miradi ya Afya, Elimu na Utawala,inayotekelezwa Wilayani Nyasa.

Miradi  inayofuatiliwa ni Hospitali ya Wilaya ya Nyasa,Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya  Nyasa,Ujenzi wa Nyumba tatu za wakuu wa Idara,Ujenzi wa Matundu ya Vyoo Liweta,Ujenzi wa Zahanati ya Lundu,Ujenzi wa matundu ya vyoo zahanati ya Hinga,Ujenzi wa Zahanati ya Ngumbo, na Ujenzi wa shule mpya ya Kata ya Liwundi.

Miradi mingine ni Ujenzi wa Vyumbva vya madarasa St Paul Liuli na ujenzi wa Zahanati ya Ngindo na miradi mingine ambayo siku ya tarehe 21/09/2022 itatembelewa katika Tarafa ya Mpepo Wilayani Nyasa.

Timu ya Ufuatiliaji inaongozwa na Katibu Tawala Msaidizi,Mkoa wa Ruvuma Ndugu   Jeremia sendoro.Habari za kina zitakujia.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • TAARIFA YA MAENDELEO YA JAMII

    June 26, 2025
  • KICHEKO CHATAWALA TAFRIJA YA KUWAAGA MADIWANI

    June 19, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.