• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

TIMU YA MPIRA WA MIGUU NYASA DC YASHINDA MAGOLI 6-0 DHIDI YA NANGOMBO FC

Posted on: October 28th, 2019

Timu ya mpira wa miguu ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa, jana imeibuka na ushindi wa mabao 6-0 dhidi ya timu ya Nangombo fc, zote za Wilayani hapa katika mchezo wa ligi ya “Uchaguzi Cup” yenye lengo la kuhamasisha wananchi wa Wilaya ya Nyasa kushiriki kikamilifu katika  uchaguzi wa Serikali za mitaa.

Ligi hiyo imeanzishwa na Mkuu wa Wilaya ya Nyasa, Bi Isabela Chilumba ambayo inashirikisha Timu kumi na mbili kutoka Wilayani hapa.

Wafungaji katika mechi hiyo ni filbert  Mpangala aliyefunga dakika ya 5 na 12, wakati gerold Mwela akifunga dk ya 25 na dakika ya 44 Hashimu alifunga bao la nne ,mpaka timu zinaenda mapumziko Timu ya halmashauri ya Nyasa 4 nangombo fc  0.

Kipindi cha pili timu zote zilianza mpira kwa kushambuliana kwa zamu lakini jahazi la Nangombo lilizidi kuzama pale kibo alipofunga magoli 2 dakika ya 67 na 82. Mpaka Mpira unakwisha nyasa dc fc 6 Nangombo 0

Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Nyasa alisema amefurahi kuhudhuria mchezo huo na amepata burudani nzuri, na kuwataka watumishi na wananchi wote wa Wilaya ya Nyasa kuhamasika kupiga kura katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika novemba 24 ili wachague viongozi wanaowapenda.

Akizungumza na wachezaji wa timu zote mbili mara baada ya mpira kumalizika Mkuu wa wilaya ya Nyasa ameipongeza timu ya Halmashauri ya wilaya ya nyasa kwa ushindi,pia ameeipongeza Timu ya Nangombo kwa kucheza vizuri licha ya kufungwa kwa kuwa lengo la mashindano hayo ni kuwahamasisha wananchi kushiriki katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 24 Mwaka huu.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Karibu Mwenge wa Uhuru Wilayani Nyasa

    May 11, 2025
  • Mwenyekiti wa Tume huru ya Uchaguzi Tanzania akagua vituo vya kujiandikisha Nyasa.

    May 04, 2025
  • Dc Nyasa awataka madiwani na watendaji kubuni vyanzo vipya vya mapato

    April 30, 2025
  • DC Nyasa azindua Kituo kipya cha Mafuta

    April 26, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.