• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Timu ya Halmashauri ya Nyasa yakabidhiwa zawadi za ubingwa Nyasa

Posted on: August 23rd, 2021

Chama cha Mpira wa Miguu wilaya ya Nyasa ( FANYA), leo kimekabidhi zawadi ya Mshindi  wa Ligi soka daraja la Nne ambaye ni Timu ya Soka ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa.

Akikabidhi Zawadi hizo Mwenyekiti wa Chama cha soka wilayani hapa bw.Robert Songambele ameipongeza Timu ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa, kwa kufanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi daraja la nne wilayani hapa, licha ya Ushindani mkubwa uliojitokeza wakati wa mashindano hiyo.

Ameongeza kuwa Timu ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa ilijiandaa vizuri na kuleta ushindani katika soka na kufanikiwa kuwa Bingwa wa  Ligi soka daraja la nne wilayani Nyasa na kusema kuwa kama chama cha Mpira wa miguu wanaimani kubwa na Timu ya Halmashauri, ambayo inatarajia kushiriki ligi soka Daraja la 3 Mkoa wa Ruvuma hivyo wamemwomba Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Nyasa, kujiandaa vema kwa kuwa ni Timu pekee ya Serikali inayoshiriki mashindano haya Ngazi ya Mkoa hivyo ni Timu inayoweza kuhamasisha Vivutio vya Utalii Wilayani Nyasa.

“Naipongeza sana Timu ya Nyasadc kwa kushindana na kutwaa Ubingwa wa Wilaya ya Nyasa hivyo nawatakia maandalizi mema ya kushindana ligi ya Daraja la Tatu, Mkoa wa Ruvuma kwa kuwa ni Timu pekee ya Serikali  inayoshiriki mashindano haya na inatoa changamoto kwa wilaya zingine”

Zawadi alizokabidhi ni Kombe na Mpira mmoja,aidha ametoa rai kwa wadau wa Mpira wa miguu kudhamini mashindano mbalimbali ya mpira wa miguu Wilaya ya Nyasa.

Akipokea zawadi hizo kwa niaba ya Timu ya Halmashauri ya Nyasa, Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Nyasa Ndugu Jimson Mhagama amesema anawapongeza wachezaji na Watumishi wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa kwa Ushirikiano wao katika michezo yote ya Ligi hiyo,aidha amesema Ofisi yake inajali michezo, na inahamasisha watumishi kufanya mazoezi.

Ligi hiyo ilishirikisha timu za Mbamba bay City, Young Star ya Mbamba bay,Likwilu na Nyasadc Fc na imeshinda kwa kupata pointi 7.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.