• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Simba na Yanga kukutana Nyasa

Posted on: April 10th, 2023

Yaliyojiri Bonanza la uhamasishaji Ujenzi wa uwanja wa kisasa  wa michezo Wilayani Nyasa.

Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Tarehe 10/04/2023 imefanya Tamasha kubwa la michezo lenye lengo la kuhamasisha Ujenzi wa uwanja wa michezo unaotarajiwa kujengwa ilipokuwa Kambi ya wachina karibu na uwanja wa ndege Wilaya ya Nyasa.

Mgeni rasmi katika bonanza Hilo ni Mkuu wa Wilaya ya Nyasa mh.Filbetho Sanga.

Shughuli ya kwanza iliyofanyika katika uwanja huo ni kufanya usafi kufyeka nyasi na kuchimbua visiki.

Mara baada ya kukamilisha zoezila usafi wa mazingira Mkuu wa Wilaya ya Nyasa mh.Sanga akizungumza na wananchi waliohudhuria Kwanza aliwashukuru Kwa kushiriki shughuli hizo.

Pia amewaambia wakazi wa Nyasa lengo la kuwa na uwanja wa michezo Wilayani Nyasa ni kuibua vipaji vya michezo vilivyopo nyasa,na kutangaza Utalii uliopo Wilayani Nyasa Kupitia timu za Simba na Yanga ambazo zitafika kuweka Kambi Wilayani Nyasa na timu zingine kutoka nchi jirani za Malawi msumbiji.

Amewataka wananchi kushiriki kazi mbalimbali za Ujenzi wa uwanja wa michezo Kwa kuwa ni fursa.

Ameongeza kuwa Wilaya ya Nyasa imefunguka mara baada ya kukamilisha Kwa Barabara ya Mbinga Hadi Mbamba bay kiwango Cha lami na Ujenzi wa Bandari ya MBAMBA BAY ambayo inatarajia kufungua fursa katika nchi ya Tanzania Malawi msumbiji.

Amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan Kwa juhudi zake za kuiletea Maendeleo Wilaya ya Nyasa.

Aidha amempongeza mbunge wa Jimbo la Nyasa mhandisi Stella Manyanya Kwa kuhamasisha Maendeleo Wilayani Nyasa.

Michezo ya kukimbizwa kuku Kwa wazee ilifanyika na washindi kupatikana waliozawadiwa kuku na mchezo wa kuvuta kamba kati ya watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa na Bodaboda fc wa Wilaya ya Nyasa na Bodaboda waliibuka washindi.

Mwisho bonanza Hilo lilimalozika katika uwanja wa michezo s/m Kilosa Kwa mpira wa Pete uliowakutanisha Timu ya Sido na timu ya Mbamba bay umoja wa vijana na Sido waliibuka kidedea Kwa kuwachapa timu ya umoja wa vijana CCM magoli 25-5.

Kwa upande wa timu za mpira wa miguu timu ya Bodaboda imeibuka kidedea Kwa kuwachapa timu ya watumishi Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Kwa penati magoli 7-6 na kupata zawadi ya jezi.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.