• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Shule zote zitoe chakula Cha mchana-Ded Nyasa

Posted on: July 31st, 2023

Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa tarehe 31/07/2023 imefanya kikao Cha tathimini ya mkataba wa lishe ngazi ya Halmashauri kajadili taarifa za mwezi April-June 2023.

Kikao Kimefanyika katika Ofisi Mkurugenzi Mtendaji wilaya ya Nyasa na kuongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wilaya ya Nyasa Bw.Khalid Khalif.

Akizungumza katika kikao hicho amewataka wazazi/walezi wa Halmashauri ya Nyasa kuhakikisha wanafunzi wanakula mashuleni ili waweze kusoma Kwa bidii na kuwa na afya bora.

Ameongeza kuwa licha ya kutoa elimu na kuhamasisha wanafunzi kupata chakula shuleni kama mkataba wa lishe ulivyosema Bado kata 4 kati ya 20 hazitoi chakula Kwa wanafunzi na kuzitaja kata hizo kuwa ni lituhi, Mipotopoto, Mbamba bay na mbaha.

Amewataka wajumbe kushirikiana na kuhakikisha huduma ya chakula inatolewa.

Awali akiwasilisha mafanikio yaliyopatikana Kwa  robo hii Afisa lishe wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Teddy amesema Idara mtambuka zinaonyesha ushirikiano mzuri katika suala la lishe,na kuwa na mwelekeo chanya wa kutoa fedha za kutekeleza shughuli za  lishe Kwa wakati.

Wajumbe wamekubaliana kuhamasisha jamii juu ya umuhimu wa lishe Bora.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • TAARIFA YA MAENDELEO YA JAMII

    June 26, 2025
  • KICHEKO CHATAWALA TAFRIJA YA KUWAAGA MADIWANI

    June 19, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.