• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Shirika la wasaidizi hakika za kisheria hakiza Binadamu latambulisha mradi Nyasa

Posted on: August 13th, 2024

Shirika la Wasaidizi wa Sheria na Haki za Binadamu Wilaya Ya Nyasa (WASHEHABINYA)  tarehe 13-08-2024 Wametambulisha Mradi mpya wenye  Thamani ya Milioni 5 mradi uliotambulishwa katika Ukumbi wa Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Nyasa.

Lengo la mradi huu ni kusaidia  utoaji elimu ya kisheria na haki za Binadamu, ufuatiliaji wa matukio ya ukiukwaji wa haki za binadamu pamoja na Msaada wa kisheria kwa wananchi katika Wilaya ya Nyasa.

Mradi huu utatekelezwa kwa muda wa Miezi mitatu katika Kata tatu za Liuli, Kihagara, Lipingo na Mbambabay, kuanzia  July hadi October 2024. Mradi huu umefadhiliwa na shirika lisilo la kiserikali la WOMAN FUND TANZANIA TRUST  ambalo makao yake yapo jiji la Dar es Salaam.

Akizungumza wakati anatambulisha mradi, Afisa ufuatiliaji na tathimini Bw.Nassoro Nurdin amesema mradi utawajengea uwezo wa Kisheria Wanawake na Watoto ambapo kundi hili kwa kiasi kikubwa, limeachwa nyuma katika utetezi wa maslahi yao ikiwepo upatikanaji wa haki ya umiliki wa ardhi na Watoto kufanyiwa ukatili wa kijinsia  bila jamii kuibuka na kuripoti matukio hayo.

 Ameongeza kuwa WASHEHABINYA na wadau mbalimbali wenye lengo la kusimamia haki mbalimbali za hao waathirika, wataendesha semina na makongamano kwa wanawake, katika  VICOBA,  viongozi wa serikali za vijiji na kata, juu ya sheria  ya ardhi na usawa wa kumiliki mali.


Wadau mbalimbali walitoa maoni yao na kulipongeza  shirika hili kwa namna linavyofanya kazi na kusaidia jamii juu ya ukatili wa kijinsia na utoaji wa msaada kisheria na kupambana na vitendo viovu kama rushwa ya ngono.


Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Nyasa aliyewakilishwa na ,Afisa Maendeleo Wilaya ya Nyasa Ndugu Shanel Mbunda, aliwataka wanachi na Wadau mbalimbali kutoa ushirikiano ili kuhakikisha jamii inaishi kwa usawa na haki katika wilaya yetu na nchi kwa ujumla.


Aidha, ametoa pongezi nyingi kwa shirika hili kwa Jinsi linavyofanya kazi na kutoa ushirikiano kwa serikali kila mara pale ambapo panahitajika. Aidha, ameahidi kutoa ushirikiano kwa makundi yote ya watu katika jamii ili kuhakikisha haki na usawa unafuatwa katika jamii yetu.

Announcements

  • Tangazo la nafasi za kazi Halmashauri ya wilaya ya Nyasa December 01, 2025
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • TANGAZO la nafasi ya kazi February 03, 2023
  • View All

Latest News

  • Balozi wa Tanzania nchini Malawi atembelea Wilaya ya Nyasa

    December 06, 2025
  • Maonesho ya Nane Nane Kanda za Nyanda za juu kusini , Mguu sawa Kuanza leo

    August 01, 2025
  • UTEKELEZAJI KAMPENI YA CHANJO YA MIFUGO YAANZA NYASA

    July 12, 2025
  • MAKUNDI SOGOZI YA WHATSAAP YAPASWA KUJADILI MAENDELEO

    July 12, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.