• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

SHIRIKA LA NERI LATOA ZANA ZA UVUVI, PIKIPIKI NA MIZINGA YA NYUKI , LIWETA NYASA.

Posted on: March 5th, 2025

Shirika lisilokuwa la kiserikali la Nyasa Environment Restoration Iniative (NERI) LA Jijini Dare es salam limekabidhi Zana za uvuvi,Mizinga ya nyuki 20  kwa Kikundi cha Uvuvi cha Dagaa safi katika kijiji Cha  Liweta Kata ya Mbaha na pikipiki 1 kwa ajili ya Afisa Uvuvi , Wilaya ya Nyasa.

Mkurugenzi wa Shirika la NERI Bw. Daniel Nkondola amekabidhi vifaa hivyo hivi karibuni katika ofisi za kikundi hicho zilzopo katika Mwalo wa Liweta na kuwataka kutumia vifaa hivyo kwa lengo la kuboresha maisha yao kwa kuwa ni zana bora za uvuvi, kufanya Uvuvi endelelevu na kufanya utnzaji wa mazingira.

Amevitaja vifaa alivyowagawia wanakikundi hao kuwa ni  Boti 4 , injini 2 za boti, nyavu za kuvulia dagaa, na chanja za kisasa za kuanikia dagaa, Mizinga ya nyuki, sare kwa ajili ya kikundi na Betri gari 1, na pikipiki moja kwa Afisa Uvuvi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa  kwa ajili ya kuwezesha usafiri  kulea kikundi.

Bw. Nkondola amefafanua kuwa lengo mahsusi ya kugawa vifaa hivyo ni Kuhamasisha Uvuvi endelevu katika kutunza Raslimali za Uvuvi, kuhamasisha utunzaji wa mazingira, kuondoa umaskini  na kutunza viumbe vya majini na nchi kavu mategemeo ya Shirika ni kuwajengea uwezo wanakikundi uwezo wa kujiajiri, kupata kipato, uhifadhi wa mazingira na kuondokana na umaskini kwa wananchi wa Wilaya ya Nyasa.


Akipokea Zana hizo kwa niaba yawanakikundi cha dagaa safi,  Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa  Bw. Khalid Khalif amelipongeza shirika la NERI kwa jitihada katka kukuza sekta ya Uvuvi na kuhamasisha Uvuvi wa kisasa na kutunza mazingira na kutatua changamoto za wanakikundi na ametoa wito kwa shirika hilo kuendeleza ushirikiano.

Kwa upande wao wanakikundi cha Dagaasafi Liweta wamelishukuru shirika hilo kwa Ufadhili na kusema kuwa changamoto zilizokuwa zinawakabili zimetatuliwa hivyo wataendelea kufanya kazi kwa juhudi ili kuboresha hali ya maisha yao.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Mwenyekiti wa Tume huru ya Uchaguzi Tanzania akagua vituo vya kujiandikisha Nyasa.

    May 04, 2025
  • Dc Nyasa awataka madiwani na watendaji kubuni vyanzo vipya vya mapato

    April 30, 2025
  • DC Nyasa azindua Kituo kipya cha Mafuta

    April 26, 2025
  • Wilaya ya Nyasa yaadhimisha miaka 61 ya Muungano kwa Kufanya Usafi

    April 26, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.