• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

SHAMBA la miti Mpepo lachangi miradi ya maendeleo Kata ya Mpepo

Posted on: November 10th, 2021

Wananchi wa Kata ya Mpepo Wilayani Nyasa, wanajivunia uwepo wa Shamba la miti Mpepo kwa jinsi linavyosaidia kutatua changamoto za miradi ya maendeleo, na Miundombinu mbalimbali.

Shamba la miti mpepo ni miongoni mwa Mashamba 23 ya miti inayosimamiwa na kuhudumiwa na wakala wa huduma za misitu Tanzania (TFS), Chini ya Wizara ya maliasili na utalii ambalo lilianza mwaka wa fedha 2017/2018 ilikuwa na ukubwa wa hekta 3,905 ambazo zote zipo wilayani Nyasa.

Meneja wa Shamba la Miti Mpepo Magayane Manumbu amesema,Kutokana na juhudi mabalimbali za menejimenti ya shamba kwakushirikiana na serikali za vijiji, wilaya na mkoa zinazofanyika za kupata maeneo mapya kutoka kwa wananchi,eneo la shamba kwa sasa ni takribani hekta 20905.ambazo zipo wilaya ya Nyasa ,Songea,na Namtumbo.

 Kupitia shamba la Miti ya mbao mpepo wananchi na jamii kwa ujumla katika maeneo hayo wanapata faida mbalimbali, ambazo zinawaletea maendeleo ya kijamii. Kupitia shamba la miti  mpepo  wananchi wa vijiji vinavyozunguka eneo hilo pamoja na wa mikoa mingine kutoka Tanzania , wanapata Ajira za kudumu na za muda takribani 500 kwa mwaka.

Shamba limetoa Elimu ya misitu kupitia kitengo chake cha uenezi pamoja na njia bora ya namna ya kuanzisha shamba la miti  ya kibiashara na utunzaji wa miti hiyo, kwa wananchi wa vijiji vinavyozunguka shamba na taasisi kama vile kanisa na shule za msingi na sekondari.

 Pia Shamba hilo limechangia kuboresha miundombinu ya barabara katika kijiji cha lusewa kwa kukwangua  barabara yenye urefu wa mita 10 pamoja na ujenzi wa culverts kwenye maeneo muhimu yaliyokuwa hayapitiki kipindi cha masika.

Shamba ya  miti mpepo , limetoa mabomba ya maji   33 katika kijiji cha mtetema na  secondari ya mhandisi Stella Manyanya , pia limetoa mabati 60 kwa ajili ya kijiji cha mtetema, shamba limetoa  Saruji mifuko 60 kwaajili ya shule ya msingi kihurunga. Lakini pia shamba limetoa viriba kilo 40, na mbegu za miti kilo 42 kwaajili ya vijiji vya lunyele, kihurunga, mtetema na mpepo.

Baada ya wananchi hao kupata faida za Shamba la miti Mpepo wamehamasika kulitunza shamba hilo kwa kuzuia uchomaji moto kiholela lakini kupanda miti katika maeneo yao jambo ambalo litawapa faida ya kuongeza  kipato cha familia na Taifa kwa Ujumla.

Meneja wa Shamba la Miti, magayane ametoa wito kwa wananchi wa Wilaya ya             Nyasa na Mkoa wa Ruvuma kwa ujumla kupanda miti ili kutunza mazingira na hapo baadae kijipatia kipato.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.