• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Serikali yatoa milioni 851 Ujenzi wa kituo cha Afya Mbaha

Posted on: October 22nd, 2024

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Bw. Khalid Khalif Tarehe 22/10/2024 amewaongoza wananchi wa Kata ya Mbaha, kufanya usafi katika eneo ambalo litajengwa Kituo cha Afya kitakahohudumia kata hiyo na maeneo Jirani.

Serikali imetoa shilingi milioni 851 kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha afya, katika Kta Hiyo ili kutatua changamoto ya wananchi waliokuwa wanatembea umbali mrefu kutafuta huduma za Afya.

Akizungumza na wananchi wakati akikamilisha zoezi hili amewataka wananchi kumshukuru Rais wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fedha  kwa ajili ya ujezi wa kituo cha afya cha kisasa ambacho kinakwenda kutatua changamoto za Afya kwa wakazi wa kata ya Mbaha na maeneo Jirani.

Bw Khalif amefafanua kuwa lengo la Serikali ni kutoa huduma bora kwa wananchi, hivyo basi baada ya kuona wananchi wa mbaha wanateseka Serikali imeona ni vizuri ikapatiwa huduma bora za afya kwa kuwajengea Kituo cha Afya.

Amewataka wananchi hao kushiriki kikamilifu kwa kusimamia ujenzi na kufanya kazi mbalimbali ili kujimilikisha kituo hicho. Aidha amemshukuru na Kumpongeza Rais wa Tanzania kwa kutoa Fedha hizo na Katibu Mkuu wa CCM Dkt Emanuely Nchimbi kwa kwenda kuomba fedha hizo ikiwa ni utekelezaji wa Ahadi liyoitoa alipofanya Ziara ya kikazi Wilayani Nyasa.

Kwa Upande wa wananchi wa Kata ya Mbaha wameishukuru Serikali kwa kutoa Fedha hizo kwa ajili ya ujezi wa Kituo cha Afya na kusema kuwa walikuwa wakiteseka kutembea umbali wa Kilomita zaidi ya 59 kufuata huduma za matibabu Wilaya ya Mbinga. Aidha wamesema wamehamasika na watafanya kazi usiku na mchana kwa ajili ya kutekeleza Mradi huu

Diwani wa Kata ya Mbaha Stewart Nombo ambaye pia ni mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa mesema atasimamia vizuri ujenzi wa Kituo hicho cha afya na kamwe hatamvumilia mwananchi atakayetaka kuhujumu mradi.

Amewahamasisha wananchi kufanya kazi mbalimbali watakapokuwa wakitangaziwa kwa kuwa kituo hiki ni chetu na ili tukimiliki tunatakiwa kushiriki kazi mbalimbali

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Karibu Mwenge wa Uhuru Wilayani Nyasa

    May 11, 2025
  • Mwenyekiti wa Tume huru ya Uchaguzi Tanzania akagua vituo vya kujiandikisha Nyasa.

    May 04, 2025
  • Dc Nyasa awataka madiwani na watendaji kubuni vyanzo vipya vya mapato

    April 30, 2025
  • DC Nyasa azindua Kituo kipya cha Mafuta

    April 26, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.