• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

SERIKALI yatenga tsh bilion 46.35 Kwa ajili ya sekta sekta ya Barabara mkoani Ruvuma

Posted on: January 4th, 2023



SERIKALI ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan imetenga shilingi bilioni 46.35 kwa ajili ya sekta ya barabara mkoani Ruvuma.


Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amesema fedha hizo zimetengwa katika bajeti ya mwaka 2022/2023 na kwamba kati ya Fedha  hizo zilizopokelewa hadi sasa ni shilingi bilioni 14.02 sawa na asilimia 30.43.


Hata hivyo amesema Wakala wa Barabara TANROADS katika bajeti hiyo wametengewa shilingi bilioni 22.588 ambapo hadi sasa wamepokea shilingi bilioni 7.17 na Wakala wa Barabara Vijijini na mijini (TARURA) wametengewa shilingi bilioni 23.76 na wamepokea shilingi bilioni 6.85 sawa na asilimia 29.


“Tangu serikali ya Awamu ya Sita iingie madarakani tumeshuhudia namna ambavyo Mkoa wetu wa Ruvuma unavyonufaika katika sekta ya barabara,kwa sababu serikali imekuwa inatenga fedha za kutosha katika sekta ya barabara’’,alisisitiza RC Thomas.


Mkuu wa Mkoa amemshukuru Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kuwezesha mpango wa utekelezaji wa maendeleo ya barabara ambapo wilaya zote za Mkoa wa Ruvuma zimeunganishwa kwa barabara za lami na hivi sasa uunganishaji wa barabara za lami ndani ya wilaya unaendelea.


Kwa upande wake Meneja wa TANROADS Mkoa wa Ruvuma Mhandisi Ephatar Mlavi amesema serikali inatarajia kuanza Ujenzi wa Barabara ya Songea – Makambako kwa kiwango cha lami na sehemu ya Songea–Lutukira ikujumuisha na sehemu ya Mtwara korido yenye urefu wa kilometa 111.


Amesema Serikali tayari imeshaingia makubaliano na Mfadhili Benki ya Dunia na hivi sasa hatua mradi upo katika hatua za awali za manunuzi. “Mradi huu utahusisha ujenzi wa kilometa 111 za lami ambazo zitajumuisha kilometa 14 za Songea bypass (Mtwara Corridor) na Songea–Lutukira kilometa 97’’,alisema Mhandisi Mlavi.


Kwa upande wake Meneja wa Mkoa wa Barabara za vijijini na mijini (TARURA) Mhandisi Wahabu Nyamzungu ameutaja mtandao wa barabara


Mkoa wa Ruvuma una mtandao wa barabara zenye urefu wa kilometa7,146.22 ukijumuisha barabara za lami,changarawe na udongo. Hata hivyo amesema serikali kupitia TARURA inaendelea kufanya jitihada za kuhakikisha mtandao wote wa barabara katika Mkoa mzima unapitika katika misimu yote ya mwaka.

Moja ya barabara za TANROADS mkoani Ruvuma yenye urefu wakilometa 66 inayoungansha wilaya ya Mbinga na Nyasa ambayo serikali imetoa  zaidi ya shilingi bilioni 129 kutekeleza ujenzi wa barabara hiyo ambayo imekamilika kwa asilimia 100

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akiwa ofisini wake mjini Songea









Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • UTEKELEZAJI KAMPENI YA CHANJO YA MIFUGO YAANZA NYASA

    July 12, 2025
  • MAKUNDI SOGOZI YA WHATSAAP YAPASWA KUJADILI MAENDELEO

    July 12, 2025
  • DC MAGIRI AZINDUA RASMI BODI YA MAJI WILAYA YA NYASA

    July 12, 2025
  • DKT.SAMIA AMWAGA TENA MAMILIONI YA MIRADI NYASA

    July 10, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.