• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

SERIKALI yatatua changamoto ya barabara na umeme Kijiji cha Ndonga,Wilayani Nyasa

Posted on: October 21st, 2022

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas,  Tarehe 21/10/2022 amefanya ziara ya kikazi ya Siku moja Wilayani Nyasa.Akiwa Wilayani hapa ametembelea na kukagua Mradi wa Barabara ya Njambe hadi Ndonga.

Akikagua Mradi huo amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa kuleta fedha Tsh milioni 220 za Tozo kwa ajili ya kutekeleza mradi wa barabara hiyo, ambayo wananchi wa Kijiji cha Ndonga hawakuwahi kuwa na barabara tangu Uhuru na walikuwa wakilazimika kusafiri kwa njia ya mtumbwi au boti.

Ameongeza kuwa barabara hiyo ni ukombozi mkubwa kwa wananchi wa kijiji cha Ndonga kata ya Liwundi Wilayani Nyasa na kumuagiza meneja wa TARURA Mhandisi Thomas Kitusi akamilishe kwa wakati ili iweze kupitika majira yote ya mwaka.

Awali akitoa taarifa ya Mradi,meneja wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mhandisi Thomas Kitusi amesema,mradi umegharimu tsh Miliono 220 na fedha zilizotumika ni kutoka mfuko wa barabara na Tozo na kazi zilizofanyika ni kuchonga barabara na kutengeneza karavati 16.

Aidha amesema Bajeti ya fedha za barabara imeongezeka hadi kutoka bilioni 2.4 hadi kufikia Bilioni 3.4 na nyongeza hii itatengeneza barabara ya Luhindo Darpori Mpakani mwa Tanzania na Msumbiji.

Kwa upande wao wananchi wa kijiji cha Ndonga wameishukuru Serikali kwa kutatua changamoto ya Umeme na Barabara kwa kuwa mwanzo walijiona wametengwa kwa kuwa hawakuwa na Miundombinu ya barabara na umeme hali iliyowalazimu kubeba kichwani Mitihani ya darasa la saba na darasa la nne,

Naye Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Ruvuma Oddo Mwisho amewataka wananchi kuitunza miundombinu hii, na kuomba Serikali iendelee kuwapa miradi mbalimbali ikiwa na pamoja na ukamilishaji wa zahanati ya Ndonga iliyojengwa kwa nguvu za Mbunge wa Jimbo la Nyasa Mhandisi Stella Manyanya

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.