• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

SATF wametembelea Club za Tuwalinde watoto

Posted on: September 30th, 2021

 SATF Tuwalinde Watoto club, leo septemba 29,2021 wametembelea miradi mbalimbali walioifanya wilayani Nyasa ,kwa lengo la kufahamu utendaji kazi wa miradi hiyo na changamoto na faida walizopata ndani ya mradi huo.

Vituo walivyotembelea ni pamoja na shule ya msingi kilosa, na shule ya msingi Mbamba bay,pamoja na baadhi ya wajasiriamali wadogowadogo walio jiandikisha na kunufaika na club hiyo ya SATF tuwalinde

Mwalimu Mkuu wa shule ya msingi kilosa Sabinus Mbele, ambaye ndio mwendeshaji wa club  ya tuwalinde watoto wetu amesema kuwa anawashukuru SATF pamoja na Serikali ya Marekani kwa kuleta mradi huu,kwa sababu kabla ya mradi huu watoto walikuwa watoro hawahudhurii darasani, pia maendeleo yao yalikuwa mabovu, lakini baada ya mradi huu maendeleo yamekuwa mazuri, watoto wanakuja darasani  na vitendea kazi walivyopewa na mradi huu, kama vile daftari, peni, kalamu,mabegi pamoja na huduma ya bima ya  afya kwa ajili ya matibabu.

Aidha Mwanafunzi  ambaye pia ni mwenyekiti wa club hiyo Magreth Komakoma, amesema kuwa kupitia club hii wamepata vitambaa vya kike, ambavyo  wanatumia wakati wakiwa kwenye siku zao. imewafanya watoto wa kike kusoma vizuri bila wasiwasi na kujiamini, pia kuendelea vizuri zaidi na masomo yao,kwa sababu awali kabla ya club hiyo, walikuwa wanachelewa vipindi darasani kutokana na hali hiyo ,hivyo ameishuruku SATF na kuwasisitiza waendelee na mradi huo ili kuwasaidia watoto mashuleni.

Naye mkazi wa kata ya kilosa Bi Veronica Ikombola, amesema  SATF imenipatia mkopo wa shilingi elfu hamsini, ili aweze kukabiliana na hali ya maisha  pamoja na kuwalea wajukuu wake, Mtaji ambao amepata ameanzisha biashara ya kufuma kofia za uzi ,bebishoo za watoto,masweta pamoja na soksi,namshuru Mungu biashara yangu inalipa na kofia moja kwa uku kijijini kwetu tunauza hadi shilingi elfu kumi, hela anayopata anaendelea  na biashara ya uchuuzi wa dagaa .

Wakati huo huo Afisa maendeleo ya jamii  Wilayani hapa, Frida  Mbele, amesema  anawashukuru uongozi wa SATF kwa kutoa huduma wilayani hapa, katika makundi maalum, ikiwemo watoto wanoishi mazingira hatarishi.

Mradi huu katika wilaya ya Nyasa umetekelezwa katika kata tano ambazo ni Mbamba Bay,Kilosa Tingi na Lumeme.watoto walionufaika na mradi huu ni 80 ambao wapo katika kaya 40.vitu walivyonufaika navyo kwa watoto wa shule ni uniform,karamu,peni,madaftari,mabegi pia pamoja vikundi mbalimbali, ambavyo viliundwa na wazazi ambao wanawatoto wanaoishi mazingira hatarishi na vikundi hivyo vinatambulika,pia tumepata baiskeli nne ambazo zinatumika na wasaidiz wa jamii wanaopita kutoa elimu.

Ametoa wito kwa shirika la SATF tuwalinde,pamoja na serikali ya Marekani kuendelea kutoa misaada hii kwa familia zinazo ishi katika mazingira hatarishi, na amewaomba wananchi wa Wilaya ya nyasa, kuwatunza watoto vizuri na kukomesha ukatili wa watoto.

Imeandaliwa na Lilian Ngwavi

Afisa Habari nyasadc

Announcements

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI WILAYA YA NYASA April 18, 2023
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • TANGAZO la nafasi ya kazi February 03, 2023
  • View All

Latest News

  • Maafisa habari/Tehama wapewa Mafunzo Ruvuma

    May 29, 2023
  • Dc-Nyasa TASAF NI Kiboko Cha utatuzi Kero za wananchi

    May 23, 2023
  • Uvuvi haramu marufuku ziwa Nyasa, wenye Nyavu haramu wajisalimishe

    May 18, 2023
  • Kikao Cha kamati ya Lishe

    May 17, 2023
  • View All

Video

NYASA yampongeza Rais SAMIA jengo jipya la Utawala
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.