• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

RUWASA NYASA YATAMBULISHA MRADI WA MAJI VIJI 2 KUPATA MAJI SAFI NA SALAMA

Posted on: January 24th, 2025

Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Wilaya ya Nyasa tarehe 24.01.2025, wametambulisha mradi  wa maji wenye thamani ya zaidi ya Tsh Milioni 962.7 utakaotatua kero ya maji safi na Salama katika Vijiji 2 vya Mbanga na Kigongo Kata ya Lumeme Wilayani Nyasa.

Mradi   umetambulishwa katika mikutano ya Hadhara kwa lengo la kuwashirikisha wananchi, ili waweze kushirikiana na Mkandarasi atakayetekeleza Mradi, Mkutano umefanyika katika Viwanja vya  Ofisi ya Mtendaji wa Kijiji Cha Mbanga  na kuhudhuriwa na wananchi, Viongozi wa Chama na Serikali.

Akizungumza katika Mkutano, Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mhe Peres Magiri, amemtaka Mkandarasi anayetekeleza Mradi, kuhakikisha anajenga mradi kwa ubora na kwa wakati na kuhakikisha maji yanatoka, na kuwa Mradi endelevu kwa kuwa Serikali inalengo la kutatua kero ya maji, hivyo fedha za Serikali ziendane na thamani halisi ya Mradi. Pia amewataka wananchi kutoa ushirikiano katika Mradi na kulinda mali za mradi, na kutunza Vyanzo vya maji.

“Ninakutaka Mkandarasi utakayetekeleza Mradi huu kuhakikisha kuwa unajenga kwa ubora na maji yanatoka, na kuwa mradi uwe endelevu kwa kuwa Serikali inalengo la kutatua kero ya maji, hivyo fedha za Serikali ziendane na thamani halisi ya Mradi,na wananchi naomba tushiriki kikamilifu Ujenzi wa mradi huu Kwa kuwa ni wetu na unalengo la kutatua kero ya maji katika vijiji hivi.

Awali akitoa Taarifa ya Miradi hiyo Meneja wa RUWASA Wilayani Nyasa mhandisi Masoud Samila,amemtambulisha Mkandarasi Mzawa CONSEL CONSTRUCTION AND ENGINEERING SERVISES CO.LTD Kutoka mwanza ndie atakayetekeleza mradi huu na amesema,wamejipanga kimkakati kusimamia na kutekeleza miradi hiyo ili iweze kutatua changamoto ya upatikanaji wa maji safi kwa wananchi.

Amesema Mradi huu unalenga kuhudumia wananchi wapatao 4990 na amevitaja vijiji vitakavyonufaika na mradi huu ni Mbanga na kigongo na manufaa ya Mradi ni kupunguza magonjwa ya Mlipuko na kuwapa huduma ya maji safi na salama wakazina kuongeza muda wa kufanya kazi.

Ameongeza kuwa shughuli zitakazofanyika ni Ujenzi wa mtego wa maji,ujenzi wa Tanki lenye ujazo wa Lita milioni Moja(150,000),ununuzi wa Bomba, ulazaji wa mabomba km 32, Ulazaji w bomba kuu Km.1 ujenzi wa vituo 10 vya kuchotea maji na Miradi hiyo itatekelezwa kwa kipindi cha miezi sita na unatarajia kukamilika 06nApril 2025.

Ametoa wito kwa wananchi kushirikiana na Mkandarasi anayetekeleza mradi huu kwa kuwa ameshaanza kazi na yuko saiti. mara moja baada ya kutambulishwa,.

Wananchi wa vijiji hivyo wameipongeza Serikali kwa, kutatua changamoto ya maji  kwa kuwa awali walikuwa hawana maji safi n salama, hivyo wamempongeza Mbunge wa Jimbo la Nyasa Mhandisi Stella Manyanya na Rais DKT Samia Suluhu Hassan kwa kutatua Changamoto ya maji safi na salama vijiji vyao.

Mbunge wa Jimbo la Nysa Mhandisi Stella Manyanya amesema Serikali inaendelea kutatua Kero za Wananchi hivyo wananchi waendelee kuwa na imani na Serikali.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Mwenyekiti wa Tume huru ya Uchaguzi Tanzania akagua vituo vya kujiandikisha Nyasa.

    May 04, 2025
  • Dc Nyasa awataka madiwani na watendaji kubuni vyanzo vipya vya mapato

    April 30, 2025
  • DC Nyasa azindua Kituo kipya cha Mafuta

    April 26, 2025
  • Wilaya ya Nyasa yaadhimisha miaka 61 ya Muungano kwa Kufanya Usafi

    April 26, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.