• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

RUWASA Nyasa yatambulisha Mradi wa maji safi na salama Kata ya Kihagara,wakazi 6000 kunufaika

Posted on: October 1st, 2022

 wakala wa maji na usafi wa mazingira Vijijini (RUWASA) Wilaya ya nyasa, imetambulisha mradi wa maji safi na Salama kwa wananchi wa Kata ya Kihagara,

Utambulisho huu umefanyika  Tarehe 30/09/2022 katika Ofisi ya Kijiji cha Mango na kuhudhuriwa na wananchi wa Kata ya Kihagara na wananchi watakaonufaika na mradi huu.

Mgeni Rasmi katika Utambulisho huu ni Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mh.Aziza Mangosongo.

Akiutambulisha Mradi huu Kaimu Meneja wa RUWASA Wilaya ya Nyasa Mhandisi Jeremiah Maduhu amesema, Gharama za mradi huo ni tsh milioni 999.9 unatarajia kuhudumia wananchi zaidi ya 6000 katika Vijiji 4 vya kata ya Kihagara Wilayani Nyasa.

Amevitaja Vijiji hivyo ni Mango,Ngehe Songambele na Puulu.amemtambulisha Mkandarasi ni Phalemon contraction limited, amesaini Mkataba wa miezi sita na kazi zitakazo fanyika ni ujenzi wa Tank,ujenzi wa chanzo cha maji na Uchimbaji naulazaji mabomba km 41.7,ujenzi wa Vituo

Akiongea na wananchi  Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Nyasa mh.Aziza Mangosongo ameipongeza Serikali kwa Kutatua Kero ya maji katika kata hiyo na amewataka  wananchi kuupokea Mradi na kutoa ushirikiano kwa wakandarasi , Aidha amewataka wakandarasi kuwapa kazi wananchi wa kata ya Kihagara na kazi ifanyike na iishe kwa muda uliopangwa

.

Diwani wa Kata ya Kihagara Mh. George Ndimbo ameishukuru Serikali kwa Kutekeleza mradi huu kwa kuwa kata hiyo ilikuwa na uhitaji mkubwa wa maji safi na Salama.

wakala wa maji na usafi wa mazingira Vijijini RUWASA Wilaya ya nyasa kwa Kipindi cha miaka 2 imetekeleza miradi 9 mikubwa iliyotatua kero ya maji katika Wilaya ya Nyasa,miradi hiyo ni Mradi wa maji Lundo Group,Likwilu,Kwambe Matenje,Chimate,Mingohi,Upolo,Mtipwili,Ngingama,na Litolomero.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.