• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Ruvuma yaadhimisha sikukuu ya Miaka 61 ya uhuru

Posted on: December 9th, 2022

Mkoa wa Ruvuma Tarehe 09/12/2022 umeadhimisha miaka 61 ya Uhuru wa Tanzania bara Kwa kufanya mdahalo katika shule ya Sekondari Limbo Wilayani Nyasa Kwa kuwakutanisha wananchi na wadau mbalimbali.

Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma aliyewakishwa na Mkuu wa Wilaya ya Songea Pololet Mgema.

Akizingumza katika mdahalo huu ameipongeza Halmashauri ya Nyasa Kwa kuadhimisha juma la miaka 61 ya Uhuru Kwa kufanya shughuli mbalimbali na Leo ikiwa ni kilele Cha maadhimisho hayo.

Àmesema Mkoa wa Ruvuma unajivunia Maendeleo Mbalimbali ya elimu afya na miundombinu huki tukisheherekea sherehe hizo.

Ameongeza kuwa Serikali inakusudia Kwa mwaka wa fedha wa mwaka huu kukamilisha Kwa kiwango Cha lami Barabara ya kitai Rwanda mpaka Bandari ya Ndumbi

Awali wazee maarufu wa Wilaya ya Nyasa wamesema wanaipongeza serikali Kwa kuboresha miundombinu hususani Barabara ya Mbinga Hadi Mbamba bay na kujenga Hospitali ya Wilaya ya Nyasa na vituo vya afya pamoja na zahanati.

Vilevile kulikua na mada nyingi tofauti tofauti kuhusu utamaduni,siasa,na mambo mengine yanayohusu ustawi wa jamii,lengo likiwa kuelemisha jamii kukumbushana kuhusu tamaduni zetu,kujua haki na wajibu wetu katika mazingira ya kazi na katika familia lakini pia umuhimu wa siasa katika maendeleo ya nchi na wananchi kwa ujumla

Announcements

  • TANGAZO la nafasi ya kazi February 03, 2023
  • ORODHA ya Watumishi wanaodai malimbikizo ya Mshahara February 08, 2023
  • TANGAZO LA KAZI NYASA DC (MTENDAJI WA KIJIJI) August 18, 2021
  • TANGAZO LA KULIPA KODI YA ARDHI August 30, 2021
  • View All

Latest News

  • MV MBEYA II

    March 23, 2023
  • Wizara ya Afya yatoa mafunzo ya kuzuia na kupambana na magonjwa ya Mlipuko Wilayani Nyasa

    March 21, 2023
  • Nyasa yapewa milioni 800 Hospitali ya Wilaya ya Nyasa.

    March 21, 2023
  • Wananchi Nyasa waishukuru Serikali Kwa kufungua Barabara

    March 17, 2023
  • View All

Video

NYASA yafunguka Kimataifa
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.