• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Rc Ruvuma atoa maagizo mazito mwaka mpya wa masomo 2025

Posted on: January 14th, 2025

RC RUVUMA ATOA MAAGIZO MWAKA MPYA WA MASOMO.

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Ahmed Abbas Ahmed, amewataka wasimamizi wa elimu ngazi ya mkoa, wilaya na halmashauri kuhakikisha watoto wenye umri wa kwenda shule wanaandikishwa na waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza wanaripoti shuleni.

Ameyasema hayo wakati akifanya mkutano na waandishi wa habari kuhusu mwaka mpya wa masomo, uliofanyika katika ofisi yake iliyopo mjini Songea mkoani Ruvuma.

“Tuendeleze kasi na nguvu ya kusimamia zoezi hili ili liwe na mafanikio makubwa, kila mtoto anayestahili kandikishwa awe ameandikishwa, wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza wahakikishe wote wanaripoti shule, viongozi waliopo katika mamlaka ya ngazi za wilaya na halmashauri wahakikishe wanaendelea kusimamia zoezi hilo ili wale ambao wanakiuka sheria wachukuliwe hatua,”alisema Kanali Ahmed.

Ameongeza kuwa zoezi hilo liende sawa na kuhakikisha wazazi wanawapatia watoto wao mahitaji stahiki ikiwemo sare za shule, shajara na kuhakikisha mtoto anapata chakula shuleni ili kumpunguzia vikwazo katika masomo yake.

Amemsisitiza kila mdau anayehusika na ujenzi wa miundombinu ya shule kuhakikisha anatimiza wajibu wake, miradi ya ujenzi inayojegwa izingatie ufanisi pamoja na kukamilishwa mapema ili wanafunzi waweze kuitumia miundombinu hiyo.

Kwa upande mwingine ameiagiza Ofisi ya Katibu Tawala Mkoa na Halmashauri kuchukua hatua za kinidhamu kwa mtu yoyote anayerudisha nyuma usimamizi wa elimu katika mkoa, hivyo kusiwe na vikwazo vyovyote vya kumpokea wanafunzi shuleni kwa kisingizio chochote cha mzazi kutotimiza mahitaji ya shule kwa sababu ni muhimu kila mwanafunzi kuanza masomo na wenzake kwa wakati.

Pia, ametoa maelekezo kwa walimu wote kuhakikisha wanahudhuria darasani na kufundisha wanafunzi kama taratibu za kazi yao inavyowataka,

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Mwenyekiti wa Tume huru ya Uchaguzi Tanzania akagua vituo vya kujiandikisha Nyasa.

    May 04, 2025
  • Dc Nyasa awataka madiwani na watendaji kubuni vyanzo vipya vya mapato

    April 30, 2025
  • DC Nyasa azindua Kituo kipya cha Mafuta

    April 26, 2025
  • Wilaya ya Nyasa yaadhimisha miaka 61 ya Muungano kwa Kufanya Usafi

    April 26, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.