• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Rc RUVUMA AIPONGEZA NYASA DC kupata Hati safi

Posted on: July 14th, 2024



Na Netho sichali,Nyasa.


Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa imepongezwa kwa  kupata  hati safi katika matokeo ya ukaguzi ambao ulifanywa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu, wa Hesabu za Serikali kwenye  hesabu  za Halmashauri  ya Wilaya ya Nyasa kwa mwaka wa fedha 2022/2023  ulioishia  Juni 30, 2023.


Pongezi hizo zimetolewa  Julai 14, 2024 na Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Rehema Madenge, wakati akisoma hotuba kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma  Kanali Abbas Mohamed Abbas katika Baraza la madiwani la kujadili taarifa ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) mwaka wa fedha wa 2022/2023 katika Halmashauri  ya Wilaya ya  Nyasa lilofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji.

Amesema “Niipongeze sana Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa kwa kupata hati safi ikiwa ni matokeo ya  ukaguzi ambao ulifanywa na  Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali hongereni sana”


Pamoja na pongezi hizo  ameuagiza uongozi wa  Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa kuhakikisha unakamilisha  mapendekezo ya CAG  na kufunga hoja zote zilizobaki  ikiwa ni pamoja na maagizo ya LAAC  kabla au ifikapo  Septemba 30,2024.


Aidha ametoa wito kwa madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa kufanya ufuatiliaji wa karibu na kuhakikisha hoja  hazizalishwi na kuweka mikakati ya kupunguza hoja.


Kwa upande wake Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa  Mhe.  Stewart Nombo amesema kuwa utekelezaji wa  maagizo yote yaliyotolewa utaanza mara moja  na taarifa ya utekelezaji itawasilishwa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma kwa muda uliopangwa.

Aidha amempongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Bw.Khalid Khalif kwa kusimamia na kukusanya mapato kwa asilimia 103 ana kupandisha bajeti ya makusanyo ya ndani kutoka Bilioni 1.4 Hadi kuifikia Bilioni 1.7.

Mbunge wa Jimbo la Nyasa mhandisi Stella Manyanya ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa kwa kupata hati safi na Kusema kuwa waendelee kushirikiana kwa matokeo ya Hati safi ni ushirikiano wa Viongozi, wataalam na wananchi

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.