• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

RC IBUGE ATOA MAAGIZO MAZITO WILAYA YA NYASA

Posted on: June 17th, 2021

YALIYOJIRI MKUTANO MAALUM  WA  BARAZA LA MADIWANI CHA KUJADILI TAARIFA YA MDHIBITI NA  MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI KWA MWAKA 2019/2020,WILAYA YA NYASA. TAR. 17/06/2021.

Leo katika ukumbi wa kepten John Komba, Mjini Mbamba bay, umefanyika  Mkutano maalum,  wa  Baraza la madiwani cha kujadili taarifa ya Mdhibiti na  mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali kwa mwaka 2019/2020.

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali (Balozi) Wilbert Ibuge amehudhuria kikao hiki na kulihutubia baraza la Madiwani Wilayani hapa.

Mkuu wa mkoa mwanzo ameipongeza Wilaya ya Nyasa kwa kwa kutoa mikopo kwa 100% yenye thamani ya tsh 66,600,000/- makundi ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu kwa mchanganuo ufuatao, Wanawake milioni 37,600,000, vijana, 19,000,000 kundi la watu wenye ulemavu 10,000,000.

Pia ameipongeza Halmashauri kwa asilimia 82.95 ya lengo la kukusanya mapato ya ndani ya Tsh 1,475,667,800 na imekusanya Tsh 1,219,874,204,53, ameitaka Halmashauri ya Nyasa kukusanya mapato kufikia 100% kwa mwaka wa fedha unaoishia june 2021.

Hajaridhishwa na Halmashauri kwa mwaka ulioishia Juni 2020 kupata hati yenye mashaka. Amewataka madiwani na watendaji wa Halmashauri kuchapa kazi kwa bidii na Kupata hati Safi kwa mwaka wa 2020/2021.

Aidha ameipongeza Halmashauri ya Nyasa kwa kupata Hati safi kwa miaka 4 mfululizo tangu 2015/2016, 2017/2018, 2018/2019.

Ameiagiza Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa kujibu hoja zote za ukaguzi kabla ya Tarehe 30 SEPTEMBA 2021. Na amewaagza Madiwani kuweka mikakati ya Ukusanyaji mapato na kufuatilia.

Pia ametoa mapendekezo 17 yatakayoifanya Wilaya pate hati safi ikiwa na pamaja na Kamati za Ukaguzi wa Hesabu katika Halmashauri zinafanya Vikao mara kwa mara, Kuwafuatilia Wadaiwa sugu wa Viwanja na mapato mengine ya Serikali, Vikundi vilivyopata Mkopo virejeshe.

Mwisho amewataka wananchi kudumisha Amani na Utulivu.

Kwa upande wa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Bw. Stewart Nombo amemshukuru Mkuu wa Mkoa kufika katika Halmashauri ya Nyasa na amesema amewachukulia hatua wale wote waliosababisha Wilaya kapata Hati yenye mashaka ikiwa ni pamoja na kuwa fukuza kazi na kwapa barua za onyo.

Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mh Isabela Chilumba amesema maagizo yote yaliyotolewa ameyachukua na atayasimamia ili kuleta ufanisi katika Halmashauri ya Nyasa.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Bw, Jimson Mhagama amesema moja ya mafanikio anayojivunia ni kwa mara ya kwanza Halmashauri imetoa mikopo kwa 100% ,makundi ya wanawake Vijana na Watu wenye Ulemavu.

Kwa habari zaidi Usikose kufuatilia Tovuti ya  www.nyasadc.go.tz.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.