• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

RAIS MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI LA MRADI WA UJENZI WA BARABARA YA KIWANGO CHA LAMI MBINGA MPAKA MBAMBA BAY .

Posted on: April 8th, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt. John Pombe Magufuli ameweka jiwe la msingi la Ujenzi wa barabara ya kiwango cha lami kutoka Mbinga mjini mpaka Mbamba- Bay Wilayani Nyasa km 67 inayogharimu zaidi ya bilioni 134.

Akihutubia wananchi katika viwanja vya shule Sekondari Makita mjini Mbinga Rais Magufuli, alimtaka mkandarasi amalize kazi kwa wakati  kabla ya mwaka 2020 ili aje aifungue kabla hajamaliza muda wake wa Urais.

Naye Mkandarasi wa kampuni ya CHICO ameahidi kumaliza barabara hiyo ya Mbinga - Mbamba bay kabla ya mwaka 2020 kwa kuwa kaambiwa kuwa fedha ipo na yeye amejipanga kuongeza nguvu kazi na kufanya kazi  usiku na mchana.

Barabara hiyo itapunguza kero ya mawasiliano kwa wananchi wa Wilaya ya Nyasa na Mbinga na shughuli za kiuchumi hasa usafirishaji wa bidhaa na mazao ambayo kwa sasa yanasafirishwa kwa shida kutokana na ubovu wa barabara hiyo.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • UTEKELEZAJI KAMPENI YA CHANJO YA MIFUGO YAANZA NYASA

    July 12, 2025
  • MAKUNDI SOGOZI YA WHATSAAP YAPASWA KUJADILI MAENDELEO

    July 12, 2025
  • DC MAGIRI AZINDUA RASMI BODI YA MAJI WILAYA YA NYASA

    July 12, 2025
  • DKT.SAMIA AMWAGA TENA MAMILIONI YA MIRADI NYASA

    July 10, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.