• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Rais Dkt Samia Suluhu Hassan mgeni rasmi kongamano la maendeleo ya sekta ya habari na kikao kazi Cha maafisa habari wa Serikali

Posted on: June 17th, 2024

Na Netho sichali, Dar es salaam 

Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, anatarajwa kuwa Mgeni Rasmi katika ufunguzi wa Kikao cha 19 cha Maafisa Habari, Mawasiliano na Itifaki wa Serikali, ambacho kitatanguliwa na Kongamano la Maendeleo ya Sekta ya Habari Nchini tarehe 18-19 Juni 2024.

Mbali na Rais Samia, viongozi wengine watakaoshiriki ni pamoja na Mawaziri, Manaibu Waziri, Makatibu Wakuu wa Wizara na Manaibu Katibu Wakuu, Msemaji Mkuu wa Serikali na Mkurugenzi wa Habari Maelezo, baadhi ya Wakuu wa Taasisi za Umma, Wamiliki wa Vyombo vya Habari Nchini, Wahariri na Waandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali vya Habari.

Kikao hicho ambacho kimeratibiwa na Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, kinalenga kuwajengea uwezo Maafisa Habari, Mawasiliano na Itifaki hao wa Serikali, kuwaongezea waledi kwa kuwapa mbinu mpya jinsi ya kufikisha taarifa kwa uma kuhusu utekelezaji wa shughuli za Serikali ngazi ya Wizara, Taasisi za Umma, Mikoa Majiji na Halmashauri, sambamba na kuongeza ubunifu katika kutekeleza wa majukumu yao ya kila siku.

Kwa mwaka 2024, kikao kazi hicho cha 19 kitafanyika kwa siku 3 kuanzia tarehe 20-24 Juni.2024, huku kikiwa kimebeba Kaulimbiu inayosema "Jenga Mustakabali Endelevu kwenye Sekta ya Habari katika Zama za Kidijiti" ambayo inawakumbusha Wadau wote wa Sekta ya Habari na Mawasiliano kutumia fursa ya Teknolojia katika kuchochea maendeleo na kukuza uchumi kwa kupashana habari zenye tija kwa Umma, sambamba na matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii hasa katika kipindi hiki ambacho dunia inaendeshwa Kidijiti.

Wadau wote wa Sekta ya Habari wanatarajiwa kuungana kwa pamoja katika Ukumbi wa Mikutano wa  Mlimani City Jijini Dar es salaam, ili kujadili mafanikio, changamoto na mikakati ya kuimarisha na kuboresha Sekta hiyo kwa maslahi mapana ya Taifa, kwa kuzingatia kuwa Sekta ya Habari na Mawasiliano ni Sekta mtambuka inayotegemewa na Wadau mbalimbali na Taifa kwa ujumla, kuleta mabadiliko chanya kiuchumi, kifikra na kijamii.


Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Karibu Mwenge wa Uhuru Wilayani Nyasa

    May 11, 2025
  • Mwenyekiti wa Tume huru ya Uchaguzi Tanzania akagua vituo vya kujiandikisha Nyasa.

    May 04, 2025
  • Dc Nyasa awataka madiwani na watendaji kubuni vyanzo vipya vya mapato

    April 30, 2025
  • DC Nyasa azindua Kituo kipya cha Mafuta

    April 26, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.