• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

OFISI ya Rais Utumishi wa Umma yatoa mafunzo ya Usimamizi wa utendaji kazi kwa watumishi

Posted on: May 20th, 2024

Ofisi ya Rais menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora (ORMUUB) tarehe 20/05/2024, imetoa mafunzo ya Mfumo wa Usimamizi wa Utendaji Kazi katika Utumishi wa Umma PEPMIS na PIPMIS kwa watumishi wa Umma wa Halmashauri na Taasisi za Serikali ya Wilaya ya Nyasa

Mafunzo haya yamefanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wilayani hapa, na lengo la mafunzo haya ni kuwajengea uwezo watumishi wa Umma ili waweze kutoa Taarifa ya utekelezaji na kupimwa, wa majukumu yao kupitia mfumo wa usimamizi wa utendaji kazi wa Utumishi wa Umma

Akifungua mafunzo hayo Mkurugenzi wa Idara na Sera na Mipango (ORMUUB) Bw Cyrus Kapinga amesema mafunzo haya ni muhimu sana kwa watumishi wa Umma kwa kuwa watakuwa wanatoa taarifa ya utendaji kazi na kupimwa kwa njia ya mfumo, kufanya shughuli mbalimbali kwa njia ya mfumo na mtumishi akiwa katika kituo chake cha kazi, kama kuomba mikopo, uhamisho na shughuli nyingine nyingi.

Ameongeza kuwa ameamua na timu yake kuja mikoani kwa ajili ya kufundisha na kufanya tathimini ya mfumo huu ili waweze kutatua changamoto zinazowakabili watumishi pindi wanapotumia mifumo huu kwa kuwa nchi yetu inachangamoto hususani ya intanet.

Ametoa wito kwa Watumishi kujifunza na kutumia mfumo huu kwa kuwa mfumo wa awali wa Opras umefutwa, hivyo tunakila sababu ya kuingia katika mfumo na kuingiza majukumu ya kila siku na kutoa taarifa ya kazi ambazo umetekeleza na mfumo utakuwa unafanya Tathimini ya wafanyakazi wa umma.

Awali akimkaribisha Mgeni rasmi kufungua mafunzo Katibu Tawala wa Wilaya ya Nyasa Bw, Salum Ismail amewataka watumishi kufanya kazi kwa juhudi na kutoa taarifa ya utendaji kazi kupitia mfumo huu.

Watumishi waliopata mafunzo ni Wakuu wa Divisheni na Vitengo na watumishi wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa pamoja na Taasisi zake.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.