• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Nyasa yazindua Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, DC awataka wanawake kuwajali wanafunzi

Posted on: March 3rd, 2022

Halmashauri ya Nyasa Tarehe O3.03.2022 imefanya Uzinduzi wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake yaliyofanyika katika Hospitali ya Wilaya ya Nyasa iliyopo katika  Kijiji  cha Nangombo, Kata ya Kilosa Wilayani hapa.

Akiongea wakati wa Uzinduzi, Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Kanali Laban Thomas ambaye ni Mgeni rasmi amewataka wanawake Wilayani hapa, kusheherekea sikukuu hiyo wakiwa wanajitafakari jinsi gani wanawasaidia watoto wa kike ili watimize ndoto zao,, hasa katika masomo.

Kanali Thomas amefafanua kuwa kuwa wanawake wengi wanasheherekea sherehe hizi kwa kujiangalia wenyewe, wanakumbana na matatizo gani lakini kwa mwaka huu, amewataka washeherekee zaidi kwa kuwajali wanafunzi wa kike na kusaidia kutatua changamoto zinazowakabili katika maisha ya kila siku Hususani upatikanaji wa taulo za kike katika shule za msingi na Sekondari.

“Nachukua Fursa hii kuwapongeza wanawake wa wilaya hii kwa kusheherekea sikukuu hii ya Wanawake lakini kwa mwaka huu tusheherekee kwa kuwaangalia watoto wa kike wanatimiza vipi malengo yao hasa katika kutimiza ndoto zao hasa za Elimu”

Aidha amefanya harambee ambayo zaidi ya Shilingi Laki Mbili zimepatikana na zitatumiwa kununua Taulo za kike kwa ajili ya wanafunzi wa shulke za Sekondari Wilayani hapa.

Uzinduzi umefanyika sambamba na kufanya shughuli mbalimbali za kugawa misaada kwa akina mama wajawazito na Waliojifungua katika Wodi ya wazazi katika Hospitali ya Wilaya ya Nyasa,kupanda miti na  kufanya usafi wa mazingira.

Vifaa walivyopewa wagonjwa ni sabuni,kofia za watoto,sabini za kufulia,kudekia mafuta ya kupaka navifaa vya kudekia.

Aidha kuelekea kilele cha sherehe hizo zitakazofanyika Halmashauri ya Madaba Wilaya ya Songea Tarehe 08.03.2022 Bado shughuli mbalimbali zitaendelea kufanyika Wilayani hapa, ikiwa ni pamoja na kutoa misaada kwa wagojwa, na wahitaji na makundi maalum majumbani, kuona watoto yatima wanaolelewa katika Kituo cha St Vicent Mbinga, na kutoa Elimu kwa wanafunzi wa kike wa Sekondari Mbamba bay.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.