• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

NYASA YATOA MAFUNZO YA USAJILI WATOTO CHINI YA MIAKA MITANO

Posted on: March 16th, 2020

Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Leo imeanza kutoa mafunzo ya siku tatu ya Mpango wa usajili wa watoto walio na umri chini ya miaka mitano (05),  kwa washiriki 121 kutoka Kata zote na Vituo vyote 35 vya kutolea huduma za afya,  ili kuwajengea uwezo washiriki namna ya kuwasajili watoto hao.

Mafunzo hayo ni  ya siku tatu, yanayofanyika katika Ukumbi wa Kepten John Komba ulioko Katika Kata ya Mbamba-bay Wilayani hapa,  yanatolewa na Serikali kupitia Wakala wa Usajili,Ufilisi na Uthamini (RITA) .

Akifungua mafunzo Hayo Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Bi Isabela Chilumba aliwataka washiriki hao kuzingatia Mafunzo,maadili ya kazi wanayoenda kuifanya kwa kuwa, wanaenda kuwasajili watoto ambao ni Raia wa Tanzania na kuwataka kuongeza umakini kwa kuwa wilaya ya Nyasa Inapakana na Nchi mbili ya Malawi na Msumbiji ili wasiweze kuwasajili watoto wasio raia wa Tanzania.

Bi chilumba aliongeza kuwa zoezi  hili la Usajili wa watoto, waliokuwa chini ya umri wa miaka mitano ni kubwa na linatakiwa kutekelezwa kwa umakini na kufikia Lengo la kusajili kwa asilimia mia moja pamoja na kuwahamasisha wananchi kushiriki kikamilifu kuwapatia watoto wao Vyeti vya kuzaliwa, kwa kuwa wato wengi hawana vyeti hivyo licha ya kuwa ni muhimu sana.

Kwa mujibu wa mratibu wa zoezi la Usajili  Wilaya ya Nyasa,Bi  Imelda Mlugo amesema Wilaya ya Nyasa inatarajia kusajili watoto (27,669) na jumla ya vituo vya usajili vitakuwa  (35) na idadi ya washiriki wa mafunzo hayo ni  121  kutoka Kata 20 za Wilayani Hapa.

Alitoa wito kwa wananchi wa Wilaya ya Nyasa kujitokeza kwa wingi ili kuwapatia haki ya msingi ya Cheti cha kuzaliwa watoto wao.Aidha aliongeza kuwa kampeni hii ya usajili wa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano itaanza machi 20 mwaka huu hadi april 07 mwaka huu na kuendelea kwa siku 90.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.