• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

NYASA YATOA MAFUNZO KWA WAKULIMA WA MITI

Posted on: November 15th, 2019

Halmashauri ya Wilaya ya nyasa, hivi karibuni imetoa mafunzo kwa vikundi vya wakulima wa miti katika kata ya Lipingo,kihagara,na Liuli. Lengo la mafunzo ni kuwajengea uwezo wa kupanda miti Kibiashara na kuitunza ili kuongeza kipato kwa wananchi na Halmashauri kwa ujumla.

Mafunzo hayo yametolewa kwa ufadhili wa shirika la Forvac (program ya kuongeza mnyororo wa thamani wa mazao yatokanayo na misitu) .

Ofisa Maliasili na utalii Wilaya ya Nyasa, ambaye pia ni Mratibu wa Mafunzo hayo, Bw.Bugingo Bugingo , aliwaambia washiriki lengo la mafunzo hayo ni kuwajengea uwezo ili waweze kuandaa mashamba kwa wakati, kupanda kwa wakati na kuyatunza kwa kuzuia moto.           Lakini wananchi wanatakiwa kujua faida ya kupanda miti. Kwa kuwa wananchi wengi wanataka kujua kuna faida yoyote ya kupanda miti kabla ya kuanza zoezi halisi.

Aliongeza kuwa Halmashauri ya nyasa  ina maeneo mazuri ambayo miti inastawi vizuri, lakini wananchi hawakuwa na elimu ya kutosha, ya upandaji miti kibiashara.Kutokana mapungufu ya elimu Halmashauri kwa kushrikiana na Shirika la Forvac wameamua kutoa mafunzo ya kutosha kwa wananchi, ili waweze kupiga hatua za kimaendeleo.

“niwaambie ndugu zangu upandaji miti kibiashara ni mkombozi wa wanyonge , kwa kuondokana  na umaskini kwa kuwa yeyote aliyelima miti hajawahi kuwa maskini. Bali ni tajiri wa baadae.Nawaombeni sana ninyi wakulima mliojitokeza hapa kwa kuwa kweli mna malengo ya kulima miti msikate tamaa bali mpate haya mafunzo na mkayatumie kwa ajili ya kupanda miti kibiashara na kuitunza kwa lengo la kuondokana na umaskini wa mtu mmojammoja na Halmashauri kwa ujumla.

Baadhi ya washiriki wa mafunzo  wameipongeza halmashauri ya Nyasa, kwa kutoa mafunzo  kwa kuwa walikuwa hawafahamu umuhimu wa kupanda miti kibiashara. Hali iliyowapelekea kutopanda miti. lakini mara baada ya kupata mafunzo ya kupanda miti kibiashara wamesema watapanda kwa taratibu sera na miongozo iliyotolewa kanuni kwa kuwa tayari wamezitunga na watazisimamia wenyewe.

Wameongeza kuwa awali walikuwa wakipanda miti michache kwa ajili ya mazoea kwa ajili ya kupata kivuli,matunda na kuni,lakini kwa sasa wamepata faida kubwa kubwa ya kujua ukipanda miti kibiashaera utaweza kupata faida nyingi ukiachia ile ya kivuli na kuni.wamezitaja faida hizo kuwa ni mbao ufugaji wa nyuki, na uboreshaji wa ardhi na uwekezaji wa kisasa wa misitu ya kupanda kwa kuwa kufanya hivo unaweza kuwa na mtaji au dhamana itakayokusaidia katika kuendesha maisha yao na kuondokana na umaskini.

“Tunakushukuru sana mratibu wa mafunzo haya ya kupanda miti kibiashara kwa kuwa mwanzo tulikuwa hatujui umuhimu wa kupanda miti kibiashara lakini kuanzia leo tutashirikiana na tutajituma kupanda miti kibiashara kwa kuwa mwanzo tulikuwa hatujui faida ya miti.pia umetuwezesha kwenda kujifunza katika mashamba ya miti mufindi kwa kuwa tuliona watu wanavyojipatia kipato kwa njia ya miti.Binafsi tunakuahidi kuwa tutapanda miti na tutahamasishana ili kufikia hatua nzuri na kupandisha uchumi kwa halmashauri yetu” alisema mwenyekiti wa muungano wa Vikundi vya wakulima katika Kijiji cha Lipingo,liuli,Kihagara.

Mkurugenzi Mtendaji wa wlilaya ya Nyasa Bw.Jimson Mhagama wakati akifunga mafunzo haya katika kijiji cha liuli aliwataka wananchi wa Wilaya ya Nyasa kuchangamkia fursa ya kupanda miti kibiashara kwa kuwa ni mkombozi wa kuondokana na umaskini katika wilaya hii ya nyasa ambayo haina mapato ya kutosha hasa mapato ya ndani kwa kuwa wananchi wengi wamekuwa wakitegemea mazao ya chakula na mazao ya uvuvi pekee.

Aliongeza kuwa katika Wilaya ya nyasa wananchi wanatakiwa kuhamasika kulima mazao ya kibiashara badala ya kutegemea mazao ya chakula na uvuvi na tunatakiwa tuhamasishane na tuthubutu kulima ndipo wengine watafuatia.

“Wilaya ya Nyasa inakabiliwa na upungufu wa vyanzo vya mapato kwa kuwatunategemea sana mazao ya chakula kama vile ,kilimo cha mahindi, na maharage,kahwa,pamoja na mazao ya uvuvi wa samaki na dagaa.lakini napenda kuwahakikishia kuwa Halmashauri kama vile Mufindi, na zingine mapato yao ya ndani yanatokana na kuuza mazao ya misitu ikiwa na pamoja na miti,mbao na nk.kwa hiyo ili tuweze kuondokana na ufinyu wa mapato ya nadani ya halmashauri na Umaskini uliokithiri kwa wananchi wa wilaya ya nyasa tunatakiwa tupande miti kwa bidii kwa kuwa maeneo ya kutosha ya kustawisha aina mbalimbali za miti tunayo”. Alisema Mhagama.

Naye Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Isabela Chilumba wakati akifungua mafunzo hayo alisema anataka kuona Wilaya ya Nyasa ikiwa inapiga hatua kwa kuharakisha maendeleo hasa kwa kupanda miti kibiashara, na hatasita kuwachukulia hatua wale wote watakaokwamisha miradi ya maendeleo hasa mradi huu wa panda miti kibiashara kwa kuwa ni mradi utakaowakomboa wananchi wa Wilaya ya Nyasa.

“Nachukua fursa kuwahamasisha wananchi wote wa Wilaya ya nyasa kupanda miti kibashara katika maeneo yenu,na maeneo maalumu yaliyotengwa kwa ajili ya kilimo cha miti kwa kuwa tukishalima uchumi wetu utapanda.

Katika Mafunzo  hayo mada mbalimbali zilitolewa kwa wananchi ikiwa ni pamoja na uandaaji shamba la kupanda miti, Kupanda miti, kuzuia moto, na kutengeneza sheria watakazozifuata wakati wakitrkeleza mjukumu yao wakati wa kupanda na kutunza mashamba ya miti.

Mratibu wa mafunzo hayo Bugingo Bugingo alisema mada hizo zilizotolewa z

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • TAARIFA YA MAENDELEO YA JAMII

    June 26, 2025
  • KICHEKO CHATAWALA TAFRIJA YA KUWAAGA MADIWANI

    June 19, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.