• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

NYASA YATOA MAFUNZO KWA WAANDISHI WASAIDIZI,BVR KIT OPERATORS

Posted on: April 30th, 2020

Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa,  leo imetoa mafunzo kwa Maafisa waandikishaji wasaidizi,bvr operators ngazi ya kituo na waandishi wasaidizi ngazi ya kata  kwa ajili ya Zoezi la Uboreshaji wa Daftari la kudumu la wapiga kura awamu ya pili, litakaloenda sambamba na Uwekaji wazi wa Daftari la kudumu la wapiga kura awamu ya kwanza.

Zoezi la uboreshaji wa Daftari la kudumu la Wapigakura  awamu ya pili, linatarajia kuanza  mei  02-04 mwaka huu na litadumu kwa siku tatu Wilayani hapa na kufanyika kila makao makuu ya  Kata. Mafunzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Limbo Kata ya Kilosa wilayani hapa.

Akifungua Mafunzo hayo ya Siku moja Afisa Mwandikishaji wa Wilaya ya Nyasa Bw. Jimson Mhagama amewataka  Maafisa waandikishaji wasaidizi,bvr operators ngazi ya kituo na waandishi wasaidizi ngazi ya kata kuhakikisha wanaelewa mafunzo,kwa kuwa watayatumia katika kufanikisha zoezi hili.

Bw. Mhagama amezitaja shughuli ambazo zinatajia kufanyika katika zoezi la uandikishaji ni wananchi kujiandikisha katika Daftari la kudumu la wapiga kura ambao walikosa fursa ya kujiandikisha katika zoezi lililopita, kuhamisha taarifa la za wapiga kura waliohamia Wilaya ya Nyasa na wanaotegemea kuwepo hadi mwezi Oktoba mwaka huu.

Aliongeza kuwa kazi nyingine, zitakazofanyika ni kuwaondoa wapiga kura waliokosa sifa za kuwepo katika Daftari la wapiga kura,mfano aliyehama,aliyefariki,na aliyefungwa.

Aidha alitoa wito kwa wananchi wa Wilaya ya Nyasa kujitokeza kwa wingi kujihakiki kwa waliojiandikisha awamu ya kwanza na kuwataka wale ambao hawakujiandikisha wajitokeze kwa wingi katika zoezi hili kwa kuwa ni zoezi la awamu ya mwisho kujiandikisha.

Katika hatua nyingine alitoa wito kwa washiriki hao kuhakikisha kuwa wanajilinda na kuwalinda wananchi kwa kuzingatia tahadhari ya ugonjwa wa Corona,ikiwa ni pamoja na kuhakikisha kila mtu anayefika kituoni anawa maji yanayotiririka kwa kuwa vifaa vyote wmekabidhiwa washiriki hao.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Karibu Mwenge wa Uhuru Wilayani Nyasa

    May 11, 2025
  • Mwenyekiti wa Tume huru ya Uchaguzi Tanzania akagua vituo vya kujiandikisha Nyasa.

    May 04, 2025
  • Dc Nyasa awataka madiwani na watendaji kubuni vyanzo vipya vya mapato

    April 30, 2025
  • DC Nyasa azindua Kituo kipya cha Mafuta

    April 26, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.