• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

NYASA YARIDHIA ENEO LA UWEKEZAJI VIZIMBA VYA SAMAKI

Posted on: September 16th, 2019

 Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa  Mkoani Ruvuma, imeridhia ombi la eneo laUwekezaji  wa vizimba vya samaki,kutoka  Kampuni ya Mwanza Delights Compony ili kupunguza umaskini na kutokomeza uvuvi haramu Wilayani hapa .

akiwasilisha taarifa hiyo wakati wakikao cha baraza la Madiwani, cha Wilaya ya nyasa kilichofanyika hivikaribuni  katika Ukumbi wa Kepteni John komba Mjini Mbamba-bay,  Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Nyasa Bw.Jimson Mhagama aliwataka wajumbe kujadiliana kwa umakini na kutoa maoni yao.

Bw Mhagama alifafanua kuwa,  Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa ilipokea ombila eneo la uwekezaji pamoja na ujumbe wa watendaji wakuu kutoka kampuni ya mwanza Delights compony,  ikieleza lengo la kampuni hiyo kuja kuwekeza Nyasa, katika Ufugaji wa samaki kwa kutumia Vizimba, na maeneo yanayofaa kwa kilimo cha kakao,kahawa  na korosho.walipata uwepo wa maeneo hayo  kupitia maonesho ya viwanda na biasharayaliyofanyika Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma.

Aliongeza kuwa, baada ya kutembelea maeneo kadhaa ya fukwe ambayo yaliainishwa na wataalam ujumbe kutoka mwanzaDelights company ltd, uliridhishwa na eneo la fukwe ya puulu na kuona linafaa kwa ajili ya ufugaji kwa kutumia vizimba na maeneo ya Kijiji cha Lundo yanafaakwa ajili ya Kilimo  cha mazao yabiashara yaani Korosho,kahawa na kakao.

Aidha aliongeza kuwa ,mradi wavizimba utawajumuisha na kuwashirikisha na kuwawezesha wavuvi katika maeneo mbalimbali ya wilaya ya Nyasa ili kufuga samaki. Utaratibu huu utachangia kupunguza umaskini na tatizo la uvuvi haramu kwa kiwango cha kikubwa katikaHalmashauri yetu. Pia mpango wa mradi wa kilimo utasaidia kuongeza fursa za ajira kwa jamii inayozunguka maeneo hayo, pamoja na kuongeza mapato ya ndani Katika Halmashauri ya Nyasa.

Baraza la madiwani kwa pamojawalikubaliana na taarifa hii na waliridhia kwa pamoja kupitia kwa Mwenyekiti wa Halmashauri Alto Komba  ambaye nimwenyekiti wa kikao na kuwaomba wawekezaji wengine kuja kuwekeza nyasa kwa kuwakuna sehemu nyingi  za uwekezaji.

“Napenda kuchukua Fursa hii kuwakaribishasana wawekezaji katika Wilaya yetu ya nyasa kwa kuwa kuna Fursa nyingi zauwekezaji kwenye kilimo,ufugaji wa samaki wanyama,vivutio vya utalii vingi sana ambavyo viko nyasa” alisema komba.

Kampuni ya MDC  imejipanga kimkakati kutekeleza mradi huukwani imeshakamilisha taratibu zingine zinazotakiwa katika utekelezaji wa Mradi,hivyo waliomba kibali cha kutumia maeneo haya kwa ajili ya uwekezaji nautekelezaji wa miradi hii na wapo tayari kulipa fidia na wanaendelea na utafitiwa maeneo mengine hasa ya fukwe za njia ya kusini kwa Kata ya ( Kilosa,Mtipwilina Chiwanda)

Imeandaliwa na Netho c. Sichali 

Kaimu Afisa Habari

Wilaya ya nyasa,0767417597

 

Announcements

  • Tangazo la nafasi za kazi Halmashauri ya wilaya ya Nyasa December 01, 2025
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • TANGAZO la nafasi ya kazi February 03, 2023
  • View All

Latest News

  • Balozi wa Tanzania nchini Malawi atembelea Wilaya ya Nyasa

    December 06, 2025
  • Maonesho ya Nane Nane Kanda za Nyanda za juu kusini , Mguu sawa Kuanza leo

    August 01, 2025
  • UTEKELEZAJI KAMPENI YA CHANJO YA MIFUGO YAANZA NYASA

    July 12, 2025
  • MAKUNDI SOGOZI YA WHATSAAP YAPASWA KUJADILI MAENDELEO

    July 12, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.