• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

NYASA yakamilisha Mafunzo ya UVIKO 19

Posted on: September 30th, 2021

Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Imekamilisha zoezi la kutoa mafunzo kwa watoa Huduma ya kuchanja, Chanjo ya UVIKO 19 katika vituo vyote vya kutolea huduma ya Afya  Wilayani hapa.

Lengo la kutoa mafunzo hayo ni kuwajengea uwezo wataalam hao, ili waweze kutoa chanjo  kwa wananchi wote wa Wilaya ya Nyasa, ili kupunguza Mnyororo wa kujikinga na ugonjwa wa UVIKO19

Mganga mkuu wa Hamashauri ya wilaya ya Nyasa Deus Ruta,amesema  tayari Halmashauri imetoa mafunzo kwa watoa Huduma za Afya kwa tarafa 3 za wilaya ya Nyasa, Ambazo ni Ruhekei, Mpepo, na Ruhuhu, na lengo ni  kuwafikia, kutoa chanjo kwa wananchi wa wilaya ya nyasa, ili wananchi wawe na uhakika wa afya na kujikinga na ugonjwa wa UVIKO19.

Ameongeza kuwa mpango wa serikali, ni kuhakikisha chanjo inawafikia wananchi wote na kutoa Elimu kwa wananchi wote ili wapate chanjo ambayo inatolewa bure na Serikali itahakikisha inatoa elimu na kuwahamasisha wananchi kupata chanjo hiyo ambayo ni muhimu ili kuweza kuukabili ugonjwa huu.

“Wilaya ya Nyasa tumejipanga kuhakikisha kuwa chanjo hii inamfikia kila mwanachi mwenye uhitaji wa kuchanja na tunatoa elimu kwa wananchi ili waweze kupata uelewa na wito wangu kwa wananchi wa Wilaya ya Nyasa kuhakikisha wanachangamkia fusa ya kuchanja kwa kuwa chanjo hiyo hutolewa bure” alisema.

Wito kwa wananchi wa wilaya ya nyasa kujitokeza kwa wingi kupata chanjo hiyo kwa kuwa inatolewa bure na imesogezwa katika kila kituo cha kutolea huduma ya Afya.

Kwa upande wao washiriki mafunzo wamesema watafanya kazi kwa bidii ya kutoa elimu, kuhamasisha jamii kupata chanjo hii na kuchanja ili kuhakikisha jamii inakuwa na afya bora.

Imeandaliwa na

Netho C. Sichali na Lilian Ngwavi

Maafisa Habari Nyasa Dc

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.