• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Nyasa yaadhimisha sikukuu ya Mtoto wa Afrika

Posted on: June 16th, 2023
  1. YALIYOJIRI, Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika Wilayani Nyasa.

Wilaya ya Nyasa tarehe 16/06/2023 imeadhimisha sikukuu ya Mtoto wa Afrika, maadhimisho yaliyofanyika katika viwanja vya mikutano Kijiji Cha Chiulu Kata ya Mtipwili Wilayani Nyasa.

Mgeni rasmi katika Maadhimisho hayo ni Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mh.Filberto Sanga.

Akizungumza na wananchi, watoto waliohudhuria amewataka wananchi kulinda Haki za watoto Kwa kuzingatia usalama wap na kutowafanyoa vitendo vya ukatili pamoja na kuwapa Haki zao ikiwa ni pamoja na kuwapa huduma za afya,Elimu na chakula.

Amesema Wilaya ya Nyasa imeboresha huduma za afya Kwa kujenga Zahanati, vituo vya afya na Hospitali ya Wilaya ya Nyasa Kwa lengo la kuboresha upatikanaji wa huduma za afya.

Ameongeza kuwa upatikanaji wa huduma za elimu Serikali imejenga na kuboresha madarasa , hivyo Kila mzazi anatakiwa kuhakikisha watoto wanapata huduma Bora za Afya na Elimu.

Amewataka watoto,majirani kuwa walinzi wa watoto na kuhakikisha wanatoa taarifa , Kwa viongozi wa vijiji kata Halmashauri na Wilaya ili kuwa chukulia hatua Kali wazazi,walezi ambao hunyanyasa au kuwafanyia ukatili watoto.

Ametoa wito Kwa wanaume kwenda na wenzi wao kuanza kliniki hasa wanapokuwa wajawazito.

Awali Mratibu wa sherehe hizo Malimi Mabondo ambaye ni kaimu Mkuu wa Divisheni ya Maendeleo ya Jamii jinsia na watoto,akitoa taarifa fupi amesema lengo la maadhimisho ya sherehe hizo ni kuikumbusha jamii,kutoa elimu juu ya Haki za watoto.

Katika maadhimisho hayo watoto wameshirikishwa kikamilifu na kupewa elimi ya jinsia, Lishe, umuhimu wa Elimu,namna ya kukabiliana na ukatili na jinsi ya kutoa Taarifa.

Announcements

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI WILAYA YA NYASA April 18, 2023
  • Tangazo la kujiunga na jeshi la kujenga Taifa, (JKT) August 29, 2023
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Nyasa kuadhimisha Siku ya Ukimwi Duniani Kwa kupima V. V.U na kutoa Elimu ya ukatili wa kijinsia

    November 30, 2023
  • Dc Nyasa-Wasiopeleka watoto shule wajiandae kufungwa

    November 25, 2023
  • Timu ya wataalam kutoka Ofisi ya mkuu wa Mkoa Ruvuma yakagua miradi ya Maendeleo, yampongeza Ded Nyasa USimamizi miradi

    November 18, 2023
  • Mkurugenzi Mtendaji wilaya ya Nyasa awataka watumishi wa afya kutoa huduma Bora Kwa wananchi

    November 16, 2023
  • View All

Video

JENGO JIPYA LA UTAWALA NYASADC
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.