• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Nyasa DC yakabidhi pikipiki kwa watendaji kata, DED awataka kutoa Huduma bora kwa Wananchi

Posted on: August 16th, 2024

Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa tarehe 16/08/2024 imekabidhi Pikipiki kwa Watendaji wa Kata 3 Mpepo, Mbamba bay na Liwundi ili kuongeza uwajibikaji kwa wananchi, makabidhiano yaliyofanyika katika Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Nyasa.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Bw. Khalid Khalif amewakabidhi watendaji hao na kuwataka wafanye kazi kwa juhudi na kuongeza uwajibikaji kwa wananchi, kwa kutatua kero mbalimbali za wananchi.

Amefafanua kuwa Pikipiki hizo zimetoka Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na zimeletwa kwa ajili ya watendaji hao ili waweze kutekeleza majukumu yao ipasavyo na kutumia kwa manufa ya wananchi wa kata husika.

Bw.Khalif, ametoa wito kwa watendaji hao kuhakikisha wanazitunza na kutumia kwa ajili ya kutoa huduma bora kwa wananchi na sio vinginevyo.

Amemshukuru Mhe. Dkt Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuimarisha mazingira ya watumishi kutoa huduma bora kwa kutoa usafiri wa Pikipiki hizo. Pia amemshuku Mbunge wa Jimbo la Nyasa Mhandisi Stella Manyanya kwa kuisemea vizuri Jimbo la Nyasa na hatimaye wananchi wapate huduma bora.

Kwa upande wao watendaji wa kata waliokabidhiwa Pikipiki wamesema watatumia pikipiki kwa ajili ya kuboresha kazi, Hiram Malugu ni Mtendaji Kata ya Mbamba bay ” Nilikuwa natumia pesa ya mfukoni kwa ajili ya kwenda kutatua changamoto za wananchi lakini kwa sasa nitaongeza juhudi”

Afisa Mtendaji wa Kata ya Mpepo amesema atatumia Pikipiki kuimarisha Ulinzi na Usalama wa mpaka wa kimataifa wa Msumbiji na Tanzania kwa kuhakikisha wageni wanaoingia na kutoka katika Nchi ya Tanzania na Msumbiji wanakuwa salama.

Naye Afisa Mtendaji wa Kata ya Liwundi Mchopa amesema atatumia pikipiki kuhakikisha Utawala bora unaimarika. Mikutano ya kila robo inafanyika pamoja na kusoma mapato na matumizi kwa kuwa awali alikuwa akilazimika kutembea umbali mrefu lakini kwa sasa hana tazizo.

Announcements

  • Tangazo la nafasi za kazi Halmashauri ya wilaya ya Nyasa December 01, 2025
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • TANGAZO la nafasi ya kazi February 03, 2023
  • View All

Latest News

  • Balozi wa Tanzania nchini Malawi atembelea Wilaya ya Nyasa

    December 06, 2025
  • Maonesho ya Nane Nane Kanda za Nyanda za juu kusini , Mguu sawa Kuanza leo

    August 01, 2025
  • UTEKELEZAJI KAMPENI YA CHANJO YA MIFUGO YAANZA NYASA

    July 12, 2025
  • MAKUNDI SOGOZI YA WHATSAAP YAPASWA KUJADILI MAENDELEO

    July 12, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.