• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

NYASA bila ukatili inawezekana

Posted on: September 26th, 2023

Leo tarehe 26/09/2023 Mwenyekiti wa SMAUJATA wilaya ya Nyasa Mwl. Kibona amefanikiwa kutoa elimu juu ya kupinga UKATILI Katika mahafari ya darasa LA 7 shule ya Msingi CHIULU. Mwenyekiti ameiasa jamii na familia kuwa makini kwani Dunia ya sasa imeharibika. Amewataka wazazi kuwa karibu na watoto wao Ili kama Kuna jambo Baya dhidi Yao waambiwe. Aidha amewataka wazazi kutokuruhusu watoto kulala na wageni CHUMBA kimoja. Pia amewaasa wazazi kutokukubali watoto wao kuitwa majina haya "mke  au mchumba" kwana utani huu mwisho wake ni mbaya. Pia amewaasa wazazi wasiende na watoto sehemu za starehe, Sambamba na Hilo amewaasa wahitimu kujitunza  na kujithamini  muda wote kwani wao ni WA thaman sana. SMAUJATA wilaya ya Nyasa inamshukuru sana Shujaa Juakali pamoja na Mwl mkuu WA shule hiyo ndg. Kapinga kwa kuthamini mchango wa SMAUJATA na kuweza kutualika na kutupatia muda wa kutosha wa kutoa Elimu. Mwenyekiti aliambatana na mjumbe mmoja ambaye ni mwl. Adimu. KATAA UKATILI WEWE NI SHUJAA na Nyasa bila UKATILI inawezekana

Announcements

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI WILAYA YA NYASA April 18, 2023
  • Tangazo la kujiunga na jeshi la kujenga Taifa, (JKT) August 29, 2023
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Nyasa kuadhimisha Siku ya Ukimwi Duniani Kwa kupima V. V.U na kutoa Elimu ya ukatili wa kijinsia

    November 30, 2023
  • Dc Nyasa-Wasiopeleka watoto shule wajiandae kufungwa

    November 25, 2023
  • Timu ya wataalam kutoka Ofisi ya mkuu wa Mkoa Ruvuma yakagua miradi ya Maendeleo, yampongeza Ded Nyasa USimamizi miradi

    November 18, 2023
  • Mkurugenzi Mtendaji wilaya ya Nyasa awataka watumishi wa afya kutoa huduma Bora Kwa wananchi

    November 16, 2023
  • View All

Video

JENGO JIPYA LA UTAWALA NYASADC
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.