• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

NAIBU WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA MHE. ENG. STELLA M. MANYANYA AWEKA JIWE LA MSINGI JENGO LA OFISI YA MUDA YA HALMASHURI .

Posted on: August 3rd, 2017

Naibu Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Mhe. Eng. Stella M. Manyanya (Mb) ameweka jiwe la Msingi la Mradi wa ujenzi wa Ofisi ndogo na ya Muda ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa na kumpongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya kwa jitihada anazoonyesha katika kuwatengenezea mazingira rafiki ya kufanyia kazi watumishi.

Akisoma taarifa ya Mradi huo, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Dkt.Oscar Albano Mbyuzi amemwambia Naibu Waziri Manyanya ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nyasa kuwa ujenzi wa Ofisi hii umekuja Kutokana na nafasi finyu ya kufanyia kazi iliyokuwa ikiwakabili watumishi katika jengo linalotumika sasa ambalo pia ni la kituo cha Rasimali za kilimo Kilosa (Resource Centre),

kufuatia hali hiyo ambapo wakuu wa idara na vitengo walilazimika kutumia ofisi moja pamoja na wasaidizi wao, ililazimika kuanza ujenzi wa Jengo dogo lenye vyumba 5  ili kupunguza msongamano wa watumishi katika ofisi zilizokuwepo kwa kutumia fedha za mapato ya ndani, ambapo hadi hatua iliyofikia limegharimu jumla ya Tshs 22,000,

Akizungumza baada ya kupokea taarifa ,Mbele ya Watumishi wa Makao Makuu ya Wilaya Mhe.Naibu Waziri alimpongeza sana Dkt Mbyuzi na Watumishi wote wa Halmashauri kwa uamuzi wa kujitengenezea mazingira bora ya kazi hata kama Serikali Kuu imeshaanza ujenzi wa Ofisi ya Kudumu ya Mkurugenzi Mtendaji, aidha alisifu utendaji wa kazi unaoonyesha njia unaofanywa na Watumishi hawa pamoja na mazingira ya ufinyu wa ofisi na kuwatia Moyo kuwa changamoto hizo zinaenda kwisha kabisa hivyo waendelee kuchapa kazi kwa nguvu ili kuwaletea maendeleo Wananyasa

Akizungumzia changamoto za vitendea kazi Mh.Mbunge wa Nyasa na Naibu Waziri huyo alisema ameagiza kompyuta zipatazo 150 kwa ajili ya Jimbo lake hivyo katika mgao huo atatoa pia kompyuta kadhaa kwa ajili ya Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji ili kupunguza adha ya Watumishi kusubiriana kufanya kazi na kuongeza ufanisi

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • TAARIFA YA MAENDELEO YA JAMII

    June 26, 2025
  • KICHEKO CHATAWALA TAFRIJA YA KUWAAGA MADIWANI

    June 19, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.