• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

NAIBU WAZIRI MALIASILI NA UTALII AIPONGEZA WILAYA YA NYASA KUHIFADHI MAZINGIRA.

Posted on: July 29th, 2018

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mh Japhet Hasunga ameipongeza Wilaya ya Nyasa kwa kuweka mikakati ya kuhifadhi mazingira na kutekeleza kwa kupanda miti ya kibiashara.

Aliitoa kauli hiyo wakati akikagua mradi wa panda miti kibiashara eneo la kijiji cha Mpepo Kata ya Mpepo Wilayani Nyasa jana Wakati akiwa kwenye ziara ya kikazi ya siku moja Wilayani hapa.

Mh.Hasunga amefafanua kuwa amefurahishwa sana na mradi huo wa panda miti ya kibiashara unaotekelezwa maeneo mbalimbali ya Halmashauri ya Nyasa hususan katika milima ya Mpepo ambayo yatasaidia kuweka mazingira katika hali ya uhifadhi,”Kukiwa na miti maeneo kama haya yatasaidia kukuza uchumi wetu kwa kipato cha mtu mmoja mmoja na Serikali kwa ujumla, kwa kuwa maeneo haya bila kupanda miti yasingefanyiwa kitu chochote”.

Aliongeza kuwa wananchi wamehamasika kupanda miti hiyo hivyo wasibughudhiwe wala kusiwe na migogoro yoyote na amewataka TFS kuisaidia jamii na kuwa nayo karibu kwa kuchangia vitendea kazi katika shule miundombinu ya barabara nk.

Katika hatua nyingine amewataka wananchi wa Kitongoji cha Jangwani  kijiji cha ndondo katika kata ya Liparamba kuacha kulima na kuheshimu mipaka ya hifadhi ya Liparamba ili kila ardhi itumike kwa mujibu wa matumizi ya ardhi husika ”ardhi hii imetengwa kwa ajili ya pori la akiba,na wanyama pori ndio wanaostahili kuishi maeneo haya hivyo wananchi heshimuni mipaka ya hifadhi ya wanyamapori ya Liparamba”

Naibu Waziri wa maliasili na utalii amefanya ziara ya siku moja (28.07.2018) Wilayani hapa na akiwa katika Ziara hiyo alikagua na kupokea taarifa ya shamba la miti katika kijiji cha Mpepo kata ya Mpepo na akafanya mkutano wenye lengo la kutatua kero za wananchi katika Kitongoji cha Jangwani Kijiji cha Ndondo na kata ya Liparamba Wilayani Nyasa MKoani Ruvuma.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • UTEKELEZAJI KAMPENI YA CHANJO YA MIFUGO YAANZA NYASA

    July 12, 2025
  • MAKUNDI SOGOZI YA WHATSAAP YAPASWA KUJADILI MAENDELEO

    July 12, 2025
  • DC MAGIRI AZINDUA RASMI BODI YA MAJI WILAYA YA NYASA

    July 12, 2025
  • DKT.SAMIA AMWAGA TENA MAMILIONI YA MIRADI NYASA

    July 10, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.