• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

MWONGOZO WA KUENDELEZA SEKTA YA UVUVI MDOGO NCHINI WATOLEWA NYASA

Posted on: September 9th, 2020

Hapo jana katika Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Nyasa, kumefanyika Mkutano wa timu tendaji kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi  na wakuu wa idara na Vitengo, Mkutano wenye lengo, la kuchukua maoni  ili kuendeleza Sekta ya Uvuvi Mdogo nchini kwa Muktadha wa kuhakikisha Usalama wa Chakula na kupunguza umaskini.

Mkutano huo umeendeshwa na watalam kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa kushirikiana na uratibu wa Shirika la Kilimo na   chakula Duniani FAO ambao imeandaa mwongozo wa hiari, unaoelekeza misingi na masuala ya muhimu ya kuzingatia ili kurahisisha ushughulikiaji wa maendeleo ya sekta ya uvuvi mdogo katika nchi yoyote ulimwenguni.

Aidha washiriki walipata fursa ya kubainisha changamoto zinazowakabili wavuvi na kutoa suluhisho nini kifanyike ili wavuvi waboreshewe maslahi.vitendea kazi vya kisasa na kuwa na jamii yenye maendeleo.

Lengo kuu la kutekeleza mwongozo wa kimataifa unaohusu uvuvi mdogo ni kuhakikisha nchi yetu inatunza raslimali za uvuvi, kwa ajili ya kizazi cha sasa na kuhakikisha uzalishaji wa mazao ya uvuvi yanaongezeka, na hivyo kuchangia katika kuhakikisha usalama wa chakula nchini na kuboresha hali ya uvuvi ikiwa ni pamoja na kupunguza umaskini miongoni mwa wanajamii yauvuvi.

Mkuu wa Idara ya Mifugo na Uvuvi Bw.Bernad Semwaiko alizitaja Baadhi ya changamoto zinazoikabili Sekta ya Uvuvi Wilayani hapa ni Ukosefu wa Zana za kisasa za uvuvi, kwa kuwa wavuvi wengi hutumia zana duni kwa ajili ya Uvuvi, Ukosefu wa elimu ya Uvuvi, kwa kuwa kwa sasa wavuvi wengi wanavua kama Utamaduni wa Kabila la Wanyasa.

Serikali kupitia Wizara ya mifugo na uvuvi inaratibu zoezi la kuandaa mpango kazi utakaotumika katika kutekeleza mwongozo huo wa kimataifa wa Uvuvi mdogo.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Mwenyekiti wa Tume huru ya Uchaguzi Tanzania akagua vituo vya kujiandikisha Nyasa.

    May 04, 2025
  • Dc Nyasa awataka madiwani na watendaji kubuni vyanzo vipya vya mapato

    April 30, 2025
  • DC Nyasa azindua Kituo kipya cha Mafuta

    April 26, 2025
  • Wilaya ya Nyasa yaadhimisha miaka 61 ya Muungano kwa Kufanya Usafi

    April 26, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.