• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa azindua kampeni ya Kinga Tiba Usubi

Posted on: August 12th, 2024

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Mhe.Stewart Nombo tarehe 12/08/2024 amezindua kampeni ya  utoaji wa kingatiba dhidi ya ugonjwa wa Usubi uzinduzi uliofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Nyasa.

Akizungumza katika uzinduzi amewataka wananchi kuunga mkono juhudi za Serikali za kutoa Kinga Tiba kwa wananchi hivyo tunakula sababu ya kunywa vidonge hivi Ili kujikinga na ugonjwa wa Usubi.

Usubi ni ugonjwa unaoathiri ngozi na macho unaosababishwa na minyoo  ambayo huenezwa na nzi weusi wadogo, wanaozaliana kandokando ya miti yenye maji yaendayo kwa kasi.

Akizungumza katika Uzinduzi huo, Mratibu wa kampeni hii, Bw. Sued Msuya amesema dalili za ugonjwa huu ni pamoja na ngozi kuwasha sana, kuwa na ukurutu usiotibika, ngozi kuchakaa mithili ya ngozi ya mamba au kenge pamoja na kuwa na vinundu sehemu ya mifupa iliyojitokeza .


Akizungumza wakati wa uzinduzi Mkurugenzi mtendaji wa Wilaya ya Nyasa Bw.Khalid Khalif amewataka wananchi wote kupata kingatiba hiyo ambayo inatolewa kwa kila kaya katika ngazi ya vitongoji, vijiji na Kata zotete, ili kuweza kujikinga dhidi ya ugonjwa huu.

Ametoa wito kwa wananchi kupata Kinga Tiba hiyo inayotolewa na watoa huduma watakaokuwa wanapita katika makazi yao.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • UTEKELEZAJI KAMPENI YA CHANJO YA MIFUGO YAANZA NYASA

    July 12, 2025
  • MAKUNDI SOGOZI YA WHATSAAP YAPASWA KUJADILI MAENDELEO

    July 12, 2025
  • DC MAGIRI AZINDUA RASMI BODI YA MAJI WILAYA YA NYASA

    July 12, 2025
  • DKT.SAMIA AMWAGA TENA MAMILIONI YA MIRADI NYASA

    July 10, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.