• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

MWENGE wa Uhuru kukimbizwa Mkoani Ruvuma kwa muda wa siku tano

Posted on: August 20th, 2021

MBIO maalum za  Mwenge wa Uhuru zinatarajia  kuanza mkoani Ruvuma Septemba mbili na kukamilika Septemba saba mwaka huu.Kwa mujibu wa ratiba ya Mwenge wa Uhuru kitaifa 2021,Mwenge unatarajiwa kupokelewa  katika kijiji cha Sautimoja wilayani Tunduru ukitokea mkoani Mtwara Septemba mbili ambao utakimbizwa wilayani Tunduru.

Kwa mujibu wa ratiba hiyo Septemba tatu, Mwenge wa Uhuru utakimbizwa wilaya ya Namtumbo,Septemba nne Mwenge wa Uhuru utakimbizwa katika Halmashauri mbili za  wilaya ya Mbinga,Septemba tano utakimbizwa katika wilaya ya Nyasa na Septemba sita  Mwenge wa unatarajia kuhitimisha mbio zake katika Halmashauri tatu za wilaya ya Songea ambazo ni Halmashauri ya Songea,Manispaa ya Songea na Halmashauri ya Madaba.

Jumla ya miradi 43 yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni kumi inatarajiwa kupitiwa na Mwenge wa Uhuru mwaka huu  ambapo Septemba saba mwaka huu Mwenge wa Uhuru unatarajiwa  kukabidhiwa mkoani Njombe

Kaulimbiu ya Mwenge wa Uhuru mwaka huu ni

"TEHAMA ni msingi wa Taifa endelevu,itumie kwa usahihi na uwajibikaji"

"Kupambana na rushwa ni jukumu langu"

"Mshikamano wa kitaifa, tuwajibike kwa pamoja"

"Tujenge jamii yenye afya imara kuzingatia lishe bora"

"Ziro malaria inaanza na mimi,nachukua kuitokomeza"

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata leseni ya biasharaDecember 31, 2021
  • FURSA za uwekezaji mkoani RuvumaDecember 31, 2021
  • MKATABA wa Lishe Mkoa wa RuvumaDecember 31, 2021
  • ILANI ya Chama Cha Mapinduzi CCM ya mwaka 2020/2025August 31, 2021
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru kukimbizwa mkoani Ruvuma kwa siku tano

    August 19, 2021

  •  
  • MKUU wa Mkoa wa Ruvuma asisitiza matumizi ya barakoa maeneo yenye mikusanyiko

    August 18, 2021

  •  
  • CHANGAMOTO za mimba za utotoni zinavyofifisha ndoto za watoto wa kike Ruvuma

    August 18, 2021

  •  
  • NMB yamkaribisha rasmi Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma

    August 17, 2021

  • Tazama zote

Video

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • UTEKELEZAJI KAMPENI YA CHANJO YA MIFUGO YAANZA NYASA

    July 12, 2025
  • MAKUNDI SOGOZI YA WHATSAAP YAPASWA KUJADILI MAENDELEO

    July 12, 2025
  • DC MAGIRI AZINDUA RASMI BODI YA MAJI WILAYA YA NYASA

    July 12, 2025
  • DKT.SAMIA AMWAGA TENA MAMILIONI YA MIRADI NYASA

    July 10, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.