• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

MV MBEYA II YAANZA RASMI SAFARI ZA KIWILA MBAMBA BAY

Posted on: December 22nd, 2020

Meli yaAbiria na Mizigo ya  Mv Mbeya II, Leo imetia nanga katika Bandari ya Mbamba bay Wilayani Nyasa na kuanza Rasmi safari zake kutoka Bandari ya Kiwila hadi Mbamba bay.

Meli hiyo imefika Mbamba bay saa 4 na nusu  Asubuhi,Ikiwa na abiria na mizigo, mbalimbali yakiwemo magari,  na kupokelewa kwa hamu na wakazi wa Mbamba bay Wilayani Hapa, na mara baada ya kutia Nanga wananch,i waliingia ndani ya meli kwa shauku kubwa na kufanya Utalii wa kupiga picha na kushangilia huku wakisema, Tunampongeza sana Rais John Pombe Magufuli kwa kuiweka katika ramani ya Maendeleo kwa kutatua kero ya Usafiri wa majini na Nchikavu katika Wilaya ya Nyasa ambao hapo awali haukuwepo.

Baadhi ya Abiria waliofika na meli hiyo, wakiongea mara baada ya Meli kuwasili Bw steven Mkomola amesema usafiri wa meli ni Mzuri sana yeye ametoka Dar es s,alaam akiwa na Gari yake Binafsi amepitia Bandari ya Kiwira, na amesafiri na Meli hiyo na amewashauri wananchi kutumia Usafiri wa majini Ziwa Nyasa kwa kuwa inakata Mawimbi na ina uwezo mkubwa.

Naye Claudeni Mwangosi amesema alikuwa anasafirisha gari lake toka Kyela hadi Mbamba bay na kufika salama kwa bei nafuu. Amesema Nyasa kumefunguka wageni wakaribie kuwekeza Nyasa. Na katika Picha waweza kuona sehemu mbali mbali za Meli hiyo.

Meli ya MV Mbeya II inafanya safari kutoka Kiwira ha Mbamba bay kila siku ya Jumatatu na kufika Mbamba bay siku ya Jumann, na Kuondoka Mbamba Bay Jumatano na kufika Kiwira Alhamis kila Wiki.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • UTEKELEZAJI KAMPENI YA CHANJO YA MIFUGO YAANZA NYASA

    July 12, 2025
  • MAKUNDI SOGOZI YA WHATSAAP YAPASWA KUJADILI MAENDELEO

    July 12, 2025
  • DC MAGIRI AZINDUA RASMI BODI YA MAJI WILAYA YA NYASA

    July 12, 2025
  • DKT.SAMIA AMWAGA TENA MAMILIONI YA MIRADI NYASA

    July 10, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.