• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

MSIMAMIZI WA Uchaguzi Nyasa atoa maelekezo kwa wadau wa Uchaguzi.

Posted on: September 26th, 2024

Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Nyasa Bw. Khalid Khalif, tarehe 26.09.2024 ametoa maelekezo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa wadau.

Maelekezo hayo ameyatoa katika Ukumbi wa Mkurugenzi  Mtendaji Wilaya ya Nyasa na Kuhudhuriwa na wadau wa Uchaguzi, Viongozi wa Dini, Vyama vya Siasa,wawakilishi wa mashirika yasiyo ya kiserikali na kamati ya usalama Wilaya.

Bw. Khalif amefafanua   kanuni namba 9 ya kanuni za  Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kijijij, Wajumbe wa Halmashauri ya Kijiji na Mwenyekiti wa Kitongoji katika Mamlaka za Wilaya za Mwaka 2024 imempa Mamlaka ya kutoa maelekezo ya Uchaguzi kwa wadau mbalimbali siku 62 kabla ya Uchaguzi.

Ameitaja Tarehe ya Kufanyika kwa Uchaguzi huo ni 27.11.2024, na katika Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Vijiji 84 na Vitongoji 421 vitashiriki Uchaguzi wa Wenyeviti wa Vijiji, wenyeviti wa Vitongoji, wajumbe wa Halmashauri za Vijiji mchanganyiko  na Wajumbe wa Halmashauri kundi la Wanawake..

Amewataka wadau hao kutoa Taarifa za Uchaguzi kwa jamii nzima za wananchi wa Wilaya ya Nyasa, ili waweze kushiriki kikamilifu zoezi la kujiandikisha, kugombea na kupiga kura ili tuweze kuwapata viongozi bora watakaosimamia na kutuongoza katika maeneo yetu.

Ameongeza kuwa Uandikishaji Utafanyika kwa siku 7 kuanzia Tarehe 11-20 Octoba 2024 kwenye majengo ya Umma katika eneo la kitongoji, pale ambapo hakuna jengo la Umma Uanndikishaji utafanyika sehemu ambayo Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi atakuwa amekubaliana na Viongozi wa Vyama vya Siasa.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mhe. Peres Magiri, amewataka wadau hao kutoa hamasa kwa wanajamii na kuhakikisha wananchi wanachagua viongozi Bora ambao watawasaidia kuwaletea maendeleo.

Aidha amerwataka kuhakikisha wanachagua kiongozi ambaye ana kazi zake binafsi za kujiletea maendeleo ili aweze kuiongoza vema jamii.

Amesema ataendelea kuhamasisha wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki, kujiandikisha na kupiga kura kuchagua Viongozi bora.

Kwa upande wa wadau, wamesema watatoa ushirikiano na kuhamasisha wanajamii ili waweze kushiriki kikamilifu uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.