• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

MOSHI MWEUPE MATOKEO YA KIDATO CHA SITA,NYASA DC

Posted on: July 9th, 2025

-Wanafunzi 273 wafaulu kwa 100% 

-Uwekezaji wa Dkt. Samia walipa kwa kishindo

            

Na Byarugaba Innocent, Nyasa DC

Jumla ya Wanafunzi 273 kutoka shule za Mbamba-Bay na St. Paul’s Sekondari walioketi Mwezi Mei, 2025 kufanya Mtihani wa Kidato cha Sita wamefaulu wote kwa daraja la 1-3 ikiwa ni wastani wa ufaulu wa asilimia 100.

Matokeo yaliyotangawa na Katibu Mtendaji wa baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) Dkt. Said Mohamed ni ishara njema kwa uwekezaji  mkubwa uliofanywa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kujenga vyumba vya Madarasa, Mabweni, kutoa ajira kwa walimu na wataalam wa Maabara, ujenzi wa maabara zenye vifaa vinavyorahisisha  na kuweka mazingira wezeshi ya kujifunza na kujifunzia.

Katika matokeo hayo yanayojumuisha wanafunzi 273, wanafunzi 33 sawa na asilimia 12 wamepata daraja la kwanza, wanafunzi 173 sawa na asilimia 63 wamepata daraja la pili, Wanafunzi 67 ambayo ni asilimia 24 wamepata daraja la tatu. Aidha, hakuna mwanafunzi aliyepata daraja la 4 ama 0

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Khalid A. Khalif amewapongeza wanafunzi kwa ufaulu mzuri wa 100% na kwamba hiyo ndio tafsiri sahihi na malengo ya uwekezaji mkubwa unaofanywa na Dkt.Samia Suluhu Hassan kwenye Sekta ya elimu ambapo Mwaka 2025 Nyasa tumetekeleza kwa vitendo

Mkurugenzi Khalid amewashukuru na kuwapongeza Walimu, Wazazi/Walezi, Wenyeviti wa bodi za Shule na jamii kwa ujumla kwa kuonyesha ushirikiano uliofanikisha matokeo haya Chanya yanayoiletea heshima kubwa Wilaya ya Nyasa, Mkoa wa Ruvuma na Taifa kwa ujumla

“…Asanteni sana Walimu kwa kutimiza majukumu yenu vizuri, haya ndio malengo ya Serikali ya awamu ya sita. Mmewajibika, matokeo yameonekana” amesema Khalid

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • Tangazo la Mikopo October 09, 2025
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Maonesho ya Nane Nane Kanda za Nyanda za juu kusini , Mguu sawa Kuanza leo

    August 01, 2025
  • UTEKELEZAJI KAMPENI YA CHANJO YA MIFUGO YAANZA NYASA

    July 12, 2025
  • MAKUNDI SOGOZI YA WHATSAAP YAPASWA KUJADILI MAENDELEO

    July 12, 2025
  • DC MAGIRI AZINDUA RASMI BODI YA MAJI WILAYA YA NYASA

    July 12, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.