• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

MKUU WA WILAYA YA NYASA AZINDUA UGAWAJI WA VITAMBULISHO VYA WAJASILIAMALI WADOGO WILAYANI NYASA..

Posted on: December 28th, 2018

Mkuu wa wilaya ya Nyasa Bi. Isabela O.Chilumba amezindua rasmi zoezi la ugawaji wa vitambulisho vya wajasiliamali wadogo leo tarehe 28.12.2018 majira ya saa 5 asubuhi katika soko la Kilosa kata Kilosa katika mji wa Mbamba bay kwa kuwataka wajasiliamali wote wenye sifa ndani ya wilaya ya Nyasa kujitokeza kulipia vitambulisho hivyo ili waweza kufanya biashara zao bila kusumbuliwa na mtu yeyote.

akizungumza na wajasiliamali wanaofanya shughuli zao kwenye Soko kuu la kilosa Bi. Isabela alieleza sifa za Mjasiliamali anayepaswa kuomba kitambulisho hicho kuwa ni yule mjasiliamali ambaye mauzo yake ghafi kwa mwaka hayazidi kiasi cha shilingi Milioni nne (4,000,000). Aidha aliwasisitiza wafanyabiashara hao kuwa kila mtu atumie kitambulisho hicho kwa matumizi yaliyo sahihi na isije ikatokea mtu akajaribu kutumia kitambulisho hicho kinyume na taratibu. Alitoa mfano kuwa ukikuta kitambulisho cha Juma kinatumika na Hamidu ambaye biashara yake kwa mwaka anapata kipato cha zaidi ya milioni nne hatutasita kumchukulia hatua kali za kisheria ili pia iwe mfano kwa wafanyabiashara ambao wana nia ya kuinyima Serikali Mapato.

katika zoezi ilo jumla ya wajasiliamali wapatao 16 walipewa vitambuliso na kwamba zoezi ilo linaendelea kwenye maeneo menine ili kutimiza utekelezaji wa Agizo la Mh.John Pombe Magufuli Rais wa Jamhuri ya Tanzania la kuwataka wajasiliamali wote wenye sifa zilizotajwa hapo juu kulipia kiasi shilingi elfu 20,000 ili wapate vitambulisho na kuwawezesha kufanya biashara zao bila kusumbuliwa

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.