• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

MKUU WA WILAYA YA NYASA AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI

Posted on: August 12th, 2019


Mkuuwa Wilaya ya Nyasa Bi Isabela Chilumba hivi karibuni ameweka jiwe la msingi katika Mradi wa Maji  unaotekelezwa katika Kijiji cha Liparamba Kata ya Liparamba, Wilayani Nyasa ambao utawanufaisha wakazi 4694. Mpaka kukamilika kwake.

Katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi uliofanyika katika viwanja vya Kituo chaAfya cha Liparamba   Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Bi Isabeba Chilumba alimuagiza Mkandalasi anayetekeleza mradi huu kukamilisha kwa wakati nakuhakikisha maji yanatoka kabla ya mwezi wa tisa kama mkataba unavyosema.piaaliwaagiza wananchi waitunze miundombinu inayojengwa na Serikali kwa ajili ya kutatua kero ya maji iliyowasumbua kwa muda mrefu.

Alionge zalengo la Serikali ni kutatua kero zinazowakabili wananchi wake ili wawezekufanya shughuli za kimaendeleo kama alivyohakikisha kata ya Liparamba inapatamaji safi na salama.

“NakuagizaMkandarasi wa mradi huu ufanye kazi kwa juhudi usiku na mchana na ifikapo mweziSeptemba uwe umemaliza na maji yatoke ili yatatue kero kwa wananchi wa kata hiiya Liparamba.Pia ninawaagiza wananchi muitunze miundombinu ya maji kwakuhakikisha jumuiya za watumia maji zinatekeleza majukumu yao”

Awali akisoma taarifa ya maendeleo ya mradi huo,Kaimu Meneja wa wakala wa maji mijini na vijijini Josephat Kayumba alisema mradi umefikia asilimia 85 ya utekelezaji na unatekelezwa na Mkandarasi  wa kampuni ya Ovansi Contruction Limited, iliyoshinda Zabuni ya kujenga mradi, kwa gharamaya shilingi (1,020,089,315.00) ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa sekta ya majiawamu ya pili , (WSDP II) Nchini Tanzania ambao ulianza kutekelezwa mwaka wafedha 2015/2016.

Alizitaja kazi zilizofanyika kuwa, ni kujenga miundombinu ya vyanzo  viwili vya maji (intakes) na sehemu moja yakukusanyia maji, kujenga tanki la kutunzia maji lenye ujazo wa mita sabini natano (75m3) na Mtandao wa mabomba, ya kusambaza maji kilometa ishirini na tano (25.85) .Pia amejenga vituo vya kuchotea maji ishirini na tisa(29) na matanki madogo ya kupunguza msongo wa maji katika bomba sita  (6) chemba thelathini na saba (37) katika maeneo mbalimbali ya mradi, pamoja na alama za bomba.

.

Wananchiwa kijiji cha Liparamba, wamefurahi kutatuliwa kero ya maji kwa kuwa awali, walikuwa wakitembea umbali wa kilometa takribani tano kufuata maji huduma yamaji  . kituo cha afya kilikuwa hakina maji hali iliyokuwa inawapa shida wagonjwa na wauguzi kutafuta maji wapatapo changamoto ya kuugua au kuuguliwa.   Kwa sasa wanaipongeza Serikali kwa kuwatatulia kero ya maji katika kijiji chao.

Akizungumzakwa niaba ya wananchi wa kata ya Liparamba Diwani wa Kata hiyo Ditram Nchimbi aliishukuru Serikali kwa kutatua kero ya maji katika kata hiyo na kusemawatahakikisha wanaitunza miundombinu  yamaji kwa kupanda miti rafiki maji na kuhakikisha vikundi vya watumia majivinafanya kazi wakati wote.

“Mh Mkuu wa Wilaya tunaishukuru sana Serikali kwa kuhakikisha inatatua changamoto ya maji katika kijiji chetu kwa kuwa Wananchi walikuwa wakiteseka sana kutafuta maji kwa kuwa walikuwa wanatembea umbali wa Kilometa takribani tano kutafutamaji.Tutahakikisha tunaitunza Miundombinu kwa kuhakikisha jumuiya ya watumiamaji zinafanya kazi muda wote”Alisema Nchimbi.

Serikaliimetoa shilingi bilioni moja na nusu kwa ajili ya kutekeleza mradi mkubwa wamaji katika kata ya Liparamba wilayani hapa ili kutatua changamoto ya majiiliyokuwa inawakabili wakazi hao.

 

 

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.